Wakuu jana jioni saa kumi na mbili nilikuwa napita mtaa fulani na kuona kuku wakikimbizana halafu wakaishia kupandana kama kawaida ya mapenzi yao, kilicho nishangazwa mno kuona kuwa kumbe kuku 'jogoo' alimpanda bata jike!
Hii inakaaje?
Acha mas-hara hili ni tukio la kweli na sasa naomba matokeo yake kama pana mtu anaushahidi.
Jamani tujitahidi kuwa watafiti na si kutoa majibu mepesi mepesi kiasi hiki.
Si ufanye utafiti kwa kufuatilia mwendendo wa huyo bata mahali ulipomuona. Alternatively, katoe offer ya kumnunua umpeleke kwako ili iwe karibu kumfuatilia. Hizo ndio gharama za reseach usingoje mwingine akufanyie research anaweza kukudanganya.

Jamani ni maajabu mie niliona jamani jogoo anampanda bata tena dumee.nikaoshia kumwambia yule mama anae wafuga huu uchuloooo jamani.akasema nilishawazoea hao wote macameroon.