Kuku aina ya kari

Kuku aina ya kari

SOVIET UNION

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
510
Reaction score
1,402
Habari wakuu,
nahitaji sana hawa kuku aina ya KARI nasikia wanataga sawa sawa na kuku wa kisasa wa mayai na wako developed na Serikali ya Kenya. Naomba mwenye nao au mwenye contact za CHasha make ndo nimeambiwa anao huko Arusha
 
Hao ni KARI hao kuku ni badala ya layers kwenye utagaji. Kenya wanawafuga sana on behalf of Layers
 
Back
Top Bottom