CHANG'OMBE
Member
- Jul 22, 2012
- 19
- 6
- Thread starter
- #21
Mama Timmy afadhali umenitoa kimaso maso kwa kusema wapo na kutoa sifa za kuku hao. Je, unawafahamu wafugaji wa kuku hao?
Kiukweli wafugaji wake siwafahamu ila unaweza ukawakuta katiba kundi la kuku wa kienyeji.kwakuwa sifa zake unazijua basi utaweza kumtofautisha na wengine kana unavyomtofautisha kuchi,kinyavu,kishingo,chotara,n.kMama Timmy afadhali umenitoa kimaso maso kwa kusema wapo na kutoa sifa za kuku hao. Je, unawafahamu wafugaji wa kuku hao?