Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Wadau kuuliza si ujinga ni kuhitaji kijua tu na kupatiwa ufafanuzi juu juu ya hili.
Facebook ilitangaza kuinunua whatsapp hivi karibuni.
Je baada ya hayo kukamilika , unaraka kuniambia whatsapp hatutaipara tena mpaka kupitia facebook
2. Ni umilikishwaji tu utabadilika na whatsapp itabaki kama ilivyo.
3. Je ni kwann inauzwa wakati naamini whatsapp sasa inafanya vizuri kuliko social network yeyote . ?