Kukosa kujiamini

Kukosa kujiamini

Mzee wa SUP

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
62
Reaction score
18
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nipo chuo kikuu X mwaka wa pili.
Tatizo langu kubwa ni ukosefu wa kutojiamini mara kwa mara,muda mwingine hata kama nikiwa na watu ambao nimewazidi hadhi i.e elimu,pesa n.k lakini bado sijiamini kabisa!nimejaribu kusoma article mbalimbali za saikolozi{how to improve self-esteem} nazielewa lakini bado naona kama kwangu vimefail kuwa applied.Lakini watu wengi sana wananipenda,wananijali,wananisikiliza,wanapenda kuwa rafiki na mimi..kiujumla hawanidharau hata siku moja!sasa ndugu zangu ebu nipeni ushauri ambao unaweza kufanyiwa kazi kwenye maisha asilia ili na mimi kinitoke hiki kidude cha kutojiamini !!
 
naamini umeshapona kwa kutambua tatizo.
 
umejuaje hujiamini na kitu gani kimekupelekea kuandika kuwa hujiamini.. enhee...
 
This might be from the devils side if not the devil himself but it works 100%

Nikiona mtu ananikosesha self esteem i do the below needful trust me it makes me feel hollier than the pope! and larger than life itself.

1. Dirty digging/ background check! I dig for the persons skeletons! Every body has somethin they are ashamed of. Once i find it! Ooooh Boy! I make them aware 24/7 that i know the truth all that glitters aint gold! They become afraid of me then!

2.I convise them i aint rogering shit! And there success is ---- n a very minor thin not worth boasting for. I trick them i can be like them if i decide to but i dont choose to cause its nothin big to try n accomplish.

3.I make myself believe that all these people are hiding worse worse details. Aint no body better than me just that them hypocrites of highest order. They might be excellent in somethin but certainly not what they try to show rather excellent in pretending, mind games, hypocrisy, lying and faking.

To dig what im sayin you need to be philosophical and see beyond what normal eyes can see while readin between the lines.
 
Vizur ww unajitambua kwamba hujiamin pole zao wasiojijua
 
Nilicheka siku moja na muona muwakilishi wa jeshi anasoma ripoti anatetemeka mikono yote, nikaona eee, kumbe hili tatizo kubwa aisee. Hadi kamanda''' amini unaweza kile unachokifanya zaidi ya mtu yoyote yule, wakati mwingine weka uso wa mbuzi hasa kama unawakilisha mada.
 
ebu punguza kwanza kupata hizo sup ...maana nazo zinaleta kutokujiamini
 
Kuna mtangazaji mmoja wa clouds fm anaitwa HARRIS KAPIGA, huyu jamaa pia ni mchungaji wa kanisa moja liko pale sinza kamanyola linaitwa NCHI YA HADI. Jamaa pale kanisani kwake kwa kila jumapili huwa anaongoza semina za vijana zinazosaidia watu kuwa na confidence juu ya masuala mbalimbali ya kijamii, semina hizi pia huwa wanakuja watu maarufu tofautitofauti ili kusaidia kuelezea mada iliyopo kwa siku hiyo juu ya somo husika, so ni bora bro ukajitahidi kujisogeza maeneo yale.
 
Unaweza piga hata kakonyagi kadogo sometime....utakuwa strong than ever......
 
mkuu niambie kwanza chuo unachukua facult(course) gani? ili niweze kukuxaidia.
 
Kuna mtangazaji mmoja wa clouds fm anaitwa HARRIS KAPIGA, huyu jamaa pia ni mchungaji wa kanisa moja liko pale sinza kamanyola linaitwa NCHI YA HADI. Jamaa pale kanisani kwake kwa kila jumapili huwa anaongoza semina za vijana zinazosaidia watu kuwa na confidence juu ya masuala mbalimbali ya kijamii, semina hizi pia huwa wanakuja watu maarufu tofautitofauti ili kusaidia kuelezea mada iliyopo kwa siku hiyo juu ya somo husika, so ni bora bro ukajitahidi kujisogeza maeneo yale.

Hata hao wanaoalikwa japokuwa wanaonekana wanajiamini lakini ukweli ni kwamba kwa kuwa wanapesa au wanakitu cha kufanya na pale wanajaribu kuwahamasisha kuwaonyesha njia mbalimbali ambazo wamepitia katika maisha, wakati mwingine huwa najaribu kuangalia tunaposema tunajiamini maana yake nini, mie naenda mbele zaidi kwa kuamini kwamba mtu tutamuona anajiamini hata pale atakapokuwa hana hela au chochote lakini bado anasimama kwa kile anachokiamini, ila umempa wazo zuri la kwenda pale NCHI YA AHADI akapate nondo kidogo ya namna ya kujiamin
 
Vuta bangi ukiisema 'Bangi nibangue, niwe najiamini sana mbele ya watu'
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nipo chuo kikuu X mwaka wa pili.
Tatizo langu kubwa ni ukosefu wa kutojiamini mara kwa mara,muda mwingine hata kama nikiwa na watu ambao nimewazidi hadhi i.e elimu,pesa n.k lakini bado sijiamini kabisa!nimejaribu kusoma article mbalimbali za saikolozi{how to improve self-esteem} nazielewa lakini bado naona kama kwangu vimefail kuwa applied.Lakini watu wengi sana wananipenda,wananijali,wananisikiliza,wanapenda kuwa rafiki na mimi..kiujumla hawanidharau hata siku moja!sasa ndugu zangu ebu nipeni ushauri ambao unaweza kufanyiwa kazi kwenye maisha asilia ili na mimi kinitoke hiki kidude cha kutojiamini !!
Umesoma kuhusu Ego?
 
Back
Top Bottom