wana JF Nisaidieni kufikisha ujumbe.yupo msichana mmoja aitwaye MONICA(a.k.a.Sikitu)PETER SHAYO.Kutoka Uru Njari.kwa kuwa mwalimu wake alikuwa na imani naye alimtafutia ajira.Lakini tar.12/01/2014 alimwibia mwajiri wake kiasi kikubwa cha fedha.Alitoroka na funguo pamoja na daftari la mauzo.Kwa kuwa mwajiri ana imani.Nawasilisha kwenu wanajamvi mnaomfahamu.Kama hajisalimisha tarehe 12/02/014.itasomwa ibada maalum ya misa ya kumkabidhi binti huyu wa miaka 20/2! kwa shetani.