Brown73
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,100
- 682
Habari za kazi ndugu watanzania.
Poleni na majukumu.
Ninaomba kujuzwa jinsi ya kukomboa mzigo hapo airport uliotumwa kutoka Dubai. Mfano nguo. Kuna utaratibu gani inayo fuatwa na malipo Yao yakoje.
Maana kuna ngugu yangu hapo dar es salaam anasunbuliwa kila siku. Na hilo naona ni kwa sababu ya kutojua sheria na njia za kufuatwa