Kukomaa na majanga

SupuyaPweza

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
914
471
Wenzetu wakifikwa na majanga ya kupandishwa bei za bidhaa nyeti hufanya hivi,... and ah! amazingly it works!

kukomaa na bei.jpg
 
Huku kwetu ukijaribu tu wale policcm watakushambulia kama mpira wa kona
 
Bongo yakikukuta hakuna hata mtu mmoja atakayekuelewa, watu watasema umejitakia mwenyewe na ukifika Segerea wahuni wanakusubiri watakwambia kaa chini watu wanafikiria murder case zao we umekuja na kesi ya kumtukana bi mkubwa wako. Lazima ushikishwe ukuta.
 
Kweli hii nchi ndio maana kila mtu anachukua fomu... wananchi poooaaaa kabisa. Shilingi mia kwa lita si ndogo, lkn wameachiwa mjengoni wasemeseme, nao wako busy hao... majimboni! Nani atamtetea mlalahoi?
 
Back
Top Bottom