Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,410
- 5,715
Pima ngomaUTI sina, Kisukari sina, (majibu ya vipimo mara kwa mara)
Kwa nini napokunywa kinywaji maji au juice kidogo tu napata haja kali ya kukojoa, na kuvumilia inakuwa ngumu na changamoto zaidi. Pia sitaenda mara moja, bali mara mbili au tatu baada ya muda.
Tatizo ni nini, nisaidie
Figo zako ziko njema hazitaki kukaa na sumuUTI sina, Kisukari sina, (majibu ya vipimo mara kwa mara)
Kwa nini napokunywa kinywaji maji au juice kidogo tu napata haja kali ya kukojoa, na kuvumilia inakuwa ngumu na changamoto zaidi. Pia sitaenda mara moja, bali mara mbili au tatu baada ya muda.
Tatizo ni nini, nisaidie
Nitazingatia mkuu, Kwa hyo boss huu sio ugonjwa bali ni mabadiriko tu ya kimwili.Figo zako zinakimbelembele/zinapiga kazi kwa kasi ya 4G.
Usithubutu kuanza kutumia madawa utasababisha matatizo mengine.
Tatizo lako ni dogo ila ukilikuza ukakutana na hawa madokta wa mchongo wakakupa dawa zao itakula kwako.
Ahsante, kwa hyo hali tu ya kimwili na wala sio tatizo la kiafya kwa maana nimeanza kuexperience hii in 2017
Sina bossHauna busha?
Kusema mimi sio mwanachamaNasikia hata ukiwa mdau wa punyeto waweza pitia hii hali
Ikizidi ni tatizoAhsante, kwa hyo hali tu ya kimwili na wala sio tatizo la kiafya kwa maana nimeanza kuexperience hii in 2017
So kwa muda huo mrefu tangu 2017 inaweza kuwa shida?
Viungo vyetu vimetofautiana. Mfano MTU mwingine anakula Milo mitatu kwa siku ila haja/choo anapata Mara moja tu. Mwingine anajisaidia Mara 3 kwa siku haja kubwa. Hii ni kwa sababu mifumo yetu ya mmeng'enyo imetofautiana kulingana na MTU na mtu. Hivyo sishauri MTU kukimbilia hospitali kisa unapata mkojo Mara 2 au 3 baada ya kinywaji. Sikilizia kwanza.Nitazingatia mkuu, Kwa hyo boss huu sio ugonjwa bali ni mabadiriko tu ya kimwili.