Kukohoa damu

Magonjwa mengi...lakini katika mazingira yetu hapa Tanzania Tuberculosis (TB) itakuwa uwezekano number 1, na kama umri wa mgonjwa ni mkubwa 50 au zaidi kuna uwezekano wa kansa ya njia ya hewa pia (kansa inaweza tokea hata kwa umri chini ya miaka 50 pia, ila si sana)!

Magonjwa mengine yaweza kuwa:
Lung abscess (jipu kwenye pafu)
Bleeding disorders (matatizo ya kuganda kwa damu)
Pneumonia
Bronchiectasis (sijui kiswahili chake)
Bronchitis (inflammation ya njia za hewa kwenye mapafu)
Trauma (kuumia kifuani)
etc...
 
je, mtu anae kohoa damu anaweza kutumia mchanganyiko wa dawa gani za asili (tangawizi, etc)?
 
Naona kilichobora zaidi kwa mtu anayekohoa anatakowa kuchanganya asali, tangawizi na remau kisha kunywa kama dawa nyinginezo.
 
Back
Top Bottom