Kukodolea macho wanawake..

Kukodolea macho wanawake..

well naona mawowowo mazuri kuyakodolea macho..hasa na hizi nguo za digitally
 
Hebu tukodoe macho kidogo, kodooooo:
 

Attachments

  • 419175_354640367985619_622746340_n[1].jpg
    419175_354640367985619_622746340_n[1].jpg
    70.2 KB · Views: 210
  • 46243_390062864402624_900578492_n[1].jpg
    46243_390062864402624_900578492_n[1].jpg
    95.9 KB · Views: 212
  • 556770_520286794655906_1052346767_n[1].jpg
    556770_520286794655906_1052346767_n[1].jpg
    20.8 KB · Views: 211
  • L0YcP2[1].jpg
    L0YcP2[1].jpg
    34 KB · Views: 449
mmmhhhhhhhhh.................:mvutaji:
 
attachment.php


Mwanaume rijali lazima ukodolee hii labda iwe umeongozana na mkeo!!
 
lakini wao si ndio wanapenda kukodolewa mimacho? je unajua wanaspend dakika ngapi kwenye kioo kabla hawajatoka nje? wanaspend muda gani kwenye wardrob kuchagua: miniskirts,tightjeans with bikini, adjustable bra e.t.c
 
mtaalam! imetulia hiyo! usipogeuka basi katafute ushauri wa daktari au kodoa macho kwenye mabango ya barbarani ili ujue ni bingwa yupi anaongeza nguvu kwa haraka zaidi
 
Haha haaaaaa.. Lazima wafanye hivyo ili wakale ugali kwa picha ya samaki lolz.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
lakini wao si ndio wanapenda kukodolewa mimacho? je unajua wanaspend dakika ngapi kwenye kioo kabla hawajatoka nje? wanaspend muda gani kwenye wardrob kuchagua: miniskirts,tightjeans with bikini, adjustable bra e.t.c

Utuwache tupumuwe banaaaaa..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwanamke ameumbwa kimatamanio
Chochote alichopewa haijalishi kipo vipi utavutika kukitizama
 

Raha inakuja ukiwa umependeza na ukajijua ukapita mahali wanaume wakawa wanakuangalia nawe ukajua then unakuwa kama huwaoni vile, utaskia wale wanaoshindwa kuvumilia wanakusalimia tuu na wengine wanakusindikiza kabisa unakoenda, yaani utakuta mwanaume anabadili njia anayoenda na kumsindikiza mschana anayemuona au kupishana nae barabarani looh.
Mbaya inakuja kwa wale wanaovaa vibaya unaweza bakwa na wale wakware wasioweza vumilia hata wakimuona bata anatembea wanasimamisha.
Saa nyingine perfume unayopaka inamata sana, unaweza pita kwenye kundi la wanaume wakageuka kukutizama na ikitokea mkagongana uso kwa uso utaona anakutabasamia. Hii ni kawaida.
 
Mungu kawaumba wanawake ili watupendezeshe sisi wanaume
Kwenye kuumba kuna vitu kaviweka
Sura nzuri
Wowowo
..............tililikeni mnavyovijua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom