Kukodisha range Rover au BMW

Kukodisha range Rover au BMW

Write your request like a person who has seen books. Explain where are you? When do you need the cars? Which model of BMW and Range Rover you want?

Msomi ameshachanganya madesa tayari, chezea kilugha cha bibi wewe! Hahahahhaa
 
Unampa kishakaji mtu hata humjui umeona tu tangazo JF?!! Kazi kweli kweli.
Kwanini isiwezekane? JF nayo ni jamii ya watu kukutana, mwanajamii anaweza kuamua tu kumsaidia mwanajamii mwenzake kufanikisha harusi yake...si lazima wajuane. Alimradi ijulikane harusi inafanyika wapi nyumbani wapi utahitaji kuanzia muda gani mpaka muda gani, uko tayari kujaza mafuta na kumlipa dereva posho, bas!
 
Unampa kishakaji mtu hata humjui umeona tu tangazo JF?!! Kazi kweli kweli.

Kishkaji sio bure jiongeze wewe unafikiria kwa kutumia kiungo kipi ? Ukishaambiwa unaweka mafuta juwa kuna driver pia

Aaaaa madhara ya watumish hewa na kukosekana kwa mikopo ndio haya unakuja speed kama unanijuwa vile
 
Nikujulie wapi. Inisaidie nini? Mbona umepaniki hivyo?
 
Write your request like a person who has seen books. Explain where are you? When do you need the cars? Which model of BMW and Range Rover you want?
Mbona mkuu wewe mwenyewe umeandika Broken ya nguvu.
Sikulaumu najua upo field,kukosolewa ndio kujua
 
Back
Top Bottom