Write your request as a person who has seen books. Explain where are you? When do you need the cars? Which model of BMW and Range Rover you want?
Msaada , nahitaj kukodsha gari kati ya haya kwa siku moja , BMW au range rover sport kwa ajili ya harusi . Aliye na access anipe gharama yake na contact .
Mkuu nipo DSM. Nahtaj budget zake
Msaada , nahitaj kukodsha gari kati ya haya kwa siku moja , BMW au range rover sport kwa ajili ya harusi . Aliye na access anipe gharama yake na contact .
Write your request like a person who has seen books. Explain where are you? When do you need the cars? Which model of BMW and Range Rover you want?
Mkuu nitakuchek ..kama upo dar na harusi itfanyika dar, kwasiku ni laki tano na nusu kwa gari yoyote utakayotaka hapo.
mkataba unaanzia, kumpereka bibi harusi au bwana harusi saloon, kwenyenyumba ya ibada,kupiga picha, ukumbini, kuwapeleka sehemu ya mapumziko usiku huo na mkataba huishia hapo
ukitaka huduma piga namba 0623025774
kama upo dar na harusi itfanyika dar, kwasiku ni laki tano na nusu kwa gari yoyote utakayotaka hapo.
mkataba unaanzia, kumpereka bibi harusi au bwana harusi saloon, kwenyenyumba ya ibada,kupiga picha, ukumbini, kuwapeleka sehemu ya mapumziko usiku huo na mkataba huishia hapo
ukitaka huduma piga namba 0623025774
"Kingeleza wito" Mpoki aka Mjuni SylveryMkuu rekebesha kizungu chako., ilitakiwa useme "Explain where you are" na sio "Explain where are you?"
Ndio maana mkuu nkaomba atumie kiswahili tu, hayo ma vizungu yenu siyawahi
Hebu rekebisha Kiswahili chakoMsaada , nahitaj kukodsha gari kati ya haya kwa siku moja , BMW au range rover sport kwa ajili ya harusi . Aliye na access anipe gharama yake na contact .
Alikuwa sahihi kusema "explain where you are" na sio" where are you" kwa kuwa hakuwa anamuuliza swali bali alimtaka atoe maelezo.Mkuu rekebesha kizungu chako., ilitakiwa useme "Explain where you are" na sio "Explain where are you?"