Kukimbia tatizo is not the best way 2solve it | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukimbia tatizo is not the best way 2solve it

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abigree, Mar 6, 2011.

 1. Abigree

  Abigree Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ccm ikajibu hoja za chadema kwa wananch, co wanakaa ofsn wanaita waandsh,na kuisukumia mzgo serkal kwa ku2mia dola kuidhibit chadema
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Watawaambia wananchi nini wakati wanajua hawana majibu ya kuwapa na kueleza kwa nini things aren't the way they should be!
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,151
  Trophy Points: 280
  Sometimes ukizidiwa unakimbia Mpwa, sasa ivi silaha iliyobaki kwa CCM nikumtumia Pinda kutoa machozi mbele ya hadhara ili kuomba huruma ya Wananchi!!! Si mtaona? lazima atoe chozi akijifanya kuilaani CDM, bytheway, huko aliko leo hajalia? nataka nimnunulie kitambaa au kitaulo cha kukaushia chozi, Dah! yule Tunu ana shida kweli kweli
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,151
  Trophy Points: 280
  CCM haoooooo, wanatafuta visingizio
   
Loading...