Kukimbia na mkopo wa Loan Board

Kukimbia na mkopo wa Loan Board

Basi jitaidi umalize usikatishe shule wakati upo mwisho, unaweza kosa kazi miaka 4 ila ukaja kupata uko mbeleni ata kwa kutia nia CCM,

kazi zipo ila ni chache, huwez jua wapi patakupa wepesi wa maisha elimu or business
Mkuu maisha Ni magumu mpaka nahisi kupata msongo wa mawazo
 
broo ckushaur hata kidog huo upumbav m nmeufany first year ila life linavonipiga mtaani natamani nirud chuo ila siwezi kupata mkop coz nilishakul mkop wote tena wakat npo ktaa with no success now nko hom tu kwa mzaz nmechil nkiwa sin raman
Mkuu pole sana! Ila bora uliacha chuo mapema, kusoma saivi tena elimu ya chuo kikuu hakuna lolote. Kikubwa upambane tu
 
Mkuu pole sana! Ila bora uliacha chuo mapema, kusoma saivi tena elimu ya chuo kikuu hakuna lolote. Kikubwa upambane tu
sure yan nilichaguliwa course hata cijuh naenda kuspecialize wap nkasema usinitanie siendi kusoma
 
sure yan nilichaguliwa course hata cijuh naenda kuspecialize wap nkasema usinitanie siendi kusoma
Mi saiv naona bora ningeenda ata VETA au chuo cha kilimo nikasoma ata certificate then nikaja kuchapa kazi. Saivi namalza tayari nikiwa na den zaidi ya 11m sijui nitafanyeje mimi
 
Back
Top Bottom