Umomi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 677
- 994
Katika siku za hivi karibuni maisha yamekuwa magumu sana hasa kwa wahitimu wa Elimu ya juu. Ni kawaida kwa muhitimu saivi kumaliza chuo kikuu Kisha akawa msaidizi wa fundi. Swali langu ni kwamba je, kuna uwezekano wa mtu kutoweka kinyamira bila kumaliza chuo?
Naomba nitoe maelezo kwa ufupi. Mimi hii Ni semester ya mwisho na kiangalia niendako baada ya kuhitimu ni kubaya kwani naenda kuendeleza biashara na siyo kuajiriwa.
Naomba nitoe maelezo kwa ufupi. Mimi hii Ni semester ya mwisho na kiangalia niendako baada ya kuhitimu ni kubaya kwani naenda kuendeleza biashara na siyo kuajiriwa.