Kilemachocho
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 560
- 365
Wakuu hii imenichanganya kidogo nimeisikia leo kwenye taarifa ya habari.
Kuwa siku si nyingi utaanzishwa utaratibu wa kupokwa points kwenye driving licence pindi utakapodakwa umevunja sheria za uendeshaji wa chombo cha moto barabarani.
Wasiwasi wangu ni kuwa wengi tutapoteza driving licence zetu kwa maana hawa jamaa wa nguo nyeupe hawakosi sababu wakishakudaka,mi naona ni bora wangeainisha makosa ya kuzikata hizo points na yawe ya msingi si vikosa vidogo dogo.
Nawasilisha wakuu...