Wanasema wanaleta msamvazajiYaani baada ya kuwa na umeme wa uhakika ndio wanakuja wawekezaji? Wanawekeza katika umeme wa upepo, makaa ya mawe, gas ama ni huu huu wa akina Marehemu Magufuli?
Sakata lingine huko mbeleniTangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.
Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.
Na kama nchi inalialia ajira hakunaWanasema wanaleta msamvazaji
Kuwa umeme tumeweza kuzalisha ila kusambaza hatuwezi
Uongo mijini Tanesco wameweza kusambaza na vijijini REA wamesambaza almost vijiji vyote Tanzania
Sasa huyo mwekezaji wanataka asambaze umeme kwenda kwa hawara zao vitandani au wapi? Anasambaza kupeleka wapi? Kama sio deal.tu za wezi
Tayari.Tangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.
Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.
Deals za watu hizi tajiriHalafu tutaambuwa kuvunja mkataba mlipe mabilioni ya $
Njia za kupiga hela tu.Wanasema wanaleta msamvazaji
Kuwa umeme tumeweza kuzalisha ila kusambaza hatuwezi
Uongo mijini Tanesco wameweza kusambaza na vijijini REA wamesambaza almost vijiji vyote Tanzania
Sasa huyo mwekezaji wanataka asambaze umeme kwenda kwa hawara zao vitandani au wapi? Anasambaza kupeleka wapi? Kama sio deal.tu za wezi
Huo huo wanawasaidia kusambaza. Na unakatikakatika hovyo unaambiwa sababu ni njia kuukuu hivyo meekezaji anahitajika kuboresha.Yaani baada ya kuwa na umeme wa uhakika ndio wanakuja wawekezaji? Wanawekeza katika umeme wa upepo, makaa ya mawe, gas ama ni huu huu wa akina Marehemu Magufuli?
Wanatafuta upigaji.Labda hao wawekezaji walete teknologia mpya, umeme ukinunuliwa uingie moja kwa moja kwenye Luku, kuleta agenda zilezile za kizamani hapana.
Nilidhani ni kwetu hujui ndio umeme unakatika ovyo,Sasa hayo mamitambo ya Nyerere yanafanya Nini,Tena? Tanzania nzuri Dana aiseeTangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.
Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.
Umeme kukatikatika hovyo haina maana ni upungufu. Umeme upo wa kutosha. Wanaandaa mazingira tuone kuna changamoto kwenye usambazaji.Nilidhani ni kwetu hujui ndio umeme unakatika ovyo,Sasa hayo mamitambo ya Nyerere yanafanya Nini,Tena? Tanzania nzuri Dana aisee