Kukatika kwa umeme

Kukatika kwa umeme

Wakati mwingine kama hujisikii kuposti ni bora ukasoma na kupita tu mkuu:sorry:

Mkuu umeme kukatika ni hali ya kawaida sn kwa hapa kwetu. Sidhani km kila umeme ukikatika mtu ulalamike ni busara. Lakini ktk hali km hii ya kukatika zaidi ya 24hrs, basi hapo ni tatizo. Tujadili juu ya kukatika kwa umeme na sio kuishia kujadili comments yangu paka lengo la thread husika linapotea
 
mada ilikuwa nzuri mana kiukweli huu mgao wa kimyakimya haueleweki kbsa.tatizo kuna MTU kashachafua Mada hapa.ngoja tu nipite
 
Me nikadhani umeandika kukatika kwa UUME! Bac nikafungua haraka haraka nijue uko pande zipi nikuwahishe hospitali... Ok any way, kwa kuwa umesharudi, wacha tufanye yetu sasa...
 
Mkuu nimepiga tanesco wameniambia kuna tatizo la transformer kwenye sub-station ya kipawa,tatizo hili limetuathiri hata sisi huku tabata.niliyeongea naye hakuwa na majibu ya ni lini utarejeshwa,tuwe na subira tu.
 
HUOOOOOOOO....yan utafkili tulikuwa tunasubiri matokeo ya uchaguz vile
 
Hata uku Goba kila siku umeme ni kukatika au kuna mgao wa kiaina nini shilika lituambie
 
Wakati naandika hii post tayari umekatika tena leo jpili watu tuko majumbani ni aibu kwa nchi
 
Huku kwetu uk ndio umerudi.yani tangu juzi usiku ilikua full giza na mbaya zaidi likafumuka joto la kufa mtu!!!!
 
Back
Top Bottom