Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,734 Dec 10, 2016 #21 Tumia mafuta haya hakika hakuna unywele wako hata mmoja utakatika! Attachments tapatalk_1475314704324.jpeg 9.7 KB · Views: 146
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,734 Dec 10, 2016 #22 FaizaFoxy said: Hivi huwa hamuuoni huu uzi wa Anti Zenab? Udongo wa huyu mama ni mwisho wa matatizo yote ya nywele na mapele mwilini. Mimi ni shahidi: http://www.jamiiforums.com/threads/unatokwa-na-nywele-una-kipara-jionee-maajabu-ya-aunt-zaynabs-natural-super-clay.887152/page-20 Click to expand... Tuambie kwanza kama umemkubalia yule jamaa wa JF alietangaza kukutaka!.......anadai eti wewe ni very cute!
FaizaFoxy said: Hivi huwa hamuuoni huu uzi wa Anti Zenab? Udongo wa huyu mama ni mwisho wa matatizo yote ya nywele na mapele mwilini. Mimi ni shahidi: http://www.jamiiforums.com/threads/unatokwa-na-nywele-una-kipara-jionee-maajabu-ya-aunt-zaynabs-natural-super-clay.887152/page-20 Click to expand... Tuambie kwanza kama umemkubalia yule jamaa wa JF alietangaza kukutaka!.......anadai eti wewe ni very cute!
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,153 Dec 10, 2016 #23 monicer said: Mara ya mwisho nncha umekata Lin?? Click to expand... Ncha za nywele zinakataje nywele? Nieleweshwe tafadhali monicer said: Mara ya mwisho nncha umekata Lin?? Click to expand...
monicer said: Mara ya mwisho nncha umekata Lin?? Click to expand... Ncha za nywele zinakataje nywele? Nieleweshwe tafadhali monicer said: Mara ya mwisho nncha umekata Lin?? Click to expand...
Prishaz JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 2,917 Reaction score 5,108 Dec 10, 2016 #24 Da Pretty said: Ncha za nywele zinakataje nywele? Nieleweshwe tafadhali Click to expand... Usipokata ncha nywele zinakuwa weak, nazikiwa weak outcome yake si nzuri.
Da Pretty said: Ncha za nywele zinakataje nywele? Nieleweshwe tafadhali Click to expand... Usipokata ncha nywele zinakuwa weak, nazikiwa weak outcome yake si nzuri.
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,153 Dec 11, 2016 #25 Prishaz said: Usipokata ncha nywele zinakuwa weak, nazikiwa weak outcome yake si nzuri. Click to expand... Sio kweli. Ncha haifanyi nywele kuwa weak. Ncha hufanya nywele kufungana juu na kukatika wakati wa kuchana au unapojaribu kuziachanisha.
Prishaz said: Usipokata ncha nywele zinakuwa weak, nazikiwa weak outcome yake si nzuri. Click to expand... Sio kweli. Ncha haifanyi nywele kuwa weak. Ncha hufanya nywele kufungana juu na kukatika wakati wa kuchana au unapojaribu kuziachanisha.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,921 Dec 26, 2016 #26 Behaviourist said: Tumia mafuta haya hakika hakuna unywele wako hata mmoja utakatika! Click to expand... Nlimnunulia haya mdogo wangu nywele zake laini alafu curls yaani akipaka zinang'aa vizuri sana Na zinakua laini zaidi,me nliwahi kutumia kidogo ila yalinishinda napenda mafuta ya maji
Behaviourist said: Tumia mafuta haya hakika hakuna unywele wako hata mmoja utakatika! Click to expand... Nlimnunulia haya mdogo wangu nywele zake laini alafu curls yaani akipaka zinang'aa vizuri sana Na zinakua laini zaidi,me nliwahi kutumia kidogo ila yalinishinda napenda mafuta ya maji
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 Dec 31, 2016 #27 monicer said: Mara ya mwisho nncha umekata Lin?? Click to expand... Kukata ncha kipaji na hizi nywele za kudunduliza ni hatari ila mimi nilijaribu mara moja nikaona kama zinakua vile
monicer said: Mara ya mwisho nncha umekata Lin?? Click to expand... Kukata ncha kipaji na hizi nywele za kudunduliza ni hatari ila mimi nilijaribu mara moja nikaona kama zinakua vile