bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
wanajamvi.... leo nimepata kitu cha S3 hamu yote imeniisha baada ya kuambiwa natakiwa nikate line iweze kuingia... vp napata wasiwasi nisiwe nikawa nimeuziwa feki naomba ushauri kuhusu hili je ni normal kwa wote au mimi tu? na kama mimi tu inamaanisha nini?