Uzoefu wangu unaonesha kuwa mimi kitandani ndio mwenye kukatika kuliko mwanamke. Wanawake ukiwakolea wanaweza kukatika? usidanganywe na wafanya biashara. Mwanamme michapo, bila kukatika michapo utaitowa wapi?
Na mwanamme asiyekatika kitandani ujuwe huyu ni "wham bham thank you ma'am".
Usije ukanipiga bodi, namwaga radhi.

ah ah ah ah! Si unajua zamani wakati tukicheza kibao kata lazima ilikuwa ufunge kanga ukaze kiuno ndio unyongeka kwa urahisi. Sasa na haya manyama uzembe shurti utafute mirindimo kwanza
Hao ndio wataaalamu wenyewe mkuu!!!
Kiuno chazungushwa km O,
we ulicheza kibao kata?
ila kwa nini kujichosha??
Si bora kukifunga kiuno kwenye mota?
ila kwa nini kujichosha??
Si bora kukifunga kiuno kwenye mota?
na ulipewa zawadi?
wapi huko?mombasa?
Zaidi ya kutuzwa mane hakuna la zaidi. Mombasa sikufanikiwa fika wajuvi zaidi walinizidi kete
we uliishia wapi?
Kuna mahali nilikuta comment kuwa wanaume wanene (sana labda, sijuhi) wanawalowesha wanawake wao kwa majasho. Nilicheka sana.
Hii mada imenifanya nijiulize ...je wanaume vibonge nao wanakatika? Au ndio maana wanapenda vi portable ili wao watulie wakati wadada wanageuka madereva.
Je kukiwa na couple vibonge kwa vibonge inakuwaje sasa? Ndo maana wadada wanene nao wanapenda wanaume wembambaaaaaa.
Mnene kwa mnene mnaweza kuchoka kabla ya mechi kuisha (dk 90)i..mkatoka bila bila.Lol.
we mnene?
unayaweza?au unamuachia mzee?