Kukata kimeo


Again, vitu vinafanywa kwa mazoea tu...babu, bibi, mjomba, shangazi, baba n.k walikatwa vimeo vyao virefu basi na sisi tunakata na kukata wanetu. Hivi unafikiri ni kwenu tu na hamna sehemu nyingine duniani wana vimeo virefu? na huko nako wanakata? Kukohoa kikohozi kikavu hadi kutapika ni ugonjwa ulikuwa common sana miaka ya nyuma ukiitwa Diphteria, na ndio ulipelekea chanjo yake ikajumuishwa kwenye chanjo ilikuwa ikiitwa DPT (Diphtheria Pertusis Tetanus) unachoma paja la kushoto..siku hizi wamengeza inaitwa DPT-HHib. Tangu watoto waanze kuchanjwa siku hizi huoni hili tatizo, na halikutokomezwa na wakata vimeo...bali DPT vaccine! Machapisho yapo, lete machapisho yako kuwa wakata vimeo wakichangia kutokomeza hilo tatizo.
 
We Mamndenyi wee...nani kakuambia hizi hadithi? Sijawahi kuona maandiko/chaposho yanayosema hivyo!
Kinachonishangaza ni kuwa kwa nini watu wanapona wanapokatwa kimeo?Kama si kitaalam ni nini?
 
Kinachonishangaza ni kuwa kwa nini watu wanapona wanapokatwa kimeo?Kama si kitaalam ni nini?

Una uhakika gani kwamba wanapona? Kuna chapisho zilizosema hivyo kama evidence? kama hakuna evidence haya mnayosema yametoka wapi? Au hata confession ya mtu mmoja tu basi ndio evidence kuwa kitu fulani kinawork?

Hivi unafikiri kama kweli kukata vimeo kunawork, mpaka sasa kungekuwa hakuna tuu scientific publications kuelezea success yake na jinsi ya kufanya hivyo safely! Badala ya inavyofanyika sasa na risk zote hizi za HIV, other bacterial infections, bleeding etc?!
 

Waweza kuwa na ujumbe mwanana ; lkini umekiuka sheria za uandishi ndg. kiasi kwamba inaumiza kuisoma kwa wengine kam sio kuchosha!

Tukirudi kwenye topic; nilishuhudia utotoni mwenzetu akikatwa kimeo na baaday alikuja kufariki wakati huo nina miaka 6! Nilizilaani tiba asilia (mtanisamehe) na baadaye ukubwani nikajiapiza sitatumbukia huko milele; Huwa nalikumbuka tuukio lile kama vile ni jana!
 
Bado kichwa yangu inauma kwa hili jambo mkuu.
 
 
Jaman naomben msaada nilikata kimeo nna siku ya tatu sasa lakini sijapona nahisi maumivu ya sehemu niliyokata Na watu wengi waliniambia kuwa nitapona baada ya siku tatu lakini sioni mabadilikoo bado napata maumivu naomba mnishauri nifanyaje... Au amenikata vibaya??
 
Kabisa hata mm hiiii hali inanisumbua sana nimeangaliwa nimeambiwa nina kimeo nakweri kinaonekana kwakweri nimepima kira ugonjwa sina kifua sina lakini nakuua napataka maumivu kifuani nikaambiwa kimeo kinasababidha nikikikata kitaacha kuuuma kwa mana kimeo kimekua kirefuu kinaonekana
 
Nimermtoka kumkata mtoto wa 3yrs mwezi uliopita.
Kabla ya hapo alikua anakohoa sana na akila chakula anatapika. Ila baada ya kukata tu kawa mpya.
Hapo kwa mtaalam nimeenda nikakuta foleni ndefu ya watu wakisubiri huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…