Kukaribisha Matatizo

Superb2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
10,369
Reaction score
8,644
Kuna baadhi ya Vijana sasa hivi wanadai Kuoa ni kukaribisha matatizo, hivi ni kweli kuoa ni kukaribisha matatizo?
 
Sio kweli mkuu.

Ndoa nyingi hazidumu kwasababu watoto wengi wazazi wao walikuwa mashangingi.​

 
Kuna baadhi ya Vijana sasa hivi wanadai Kuoa ni kukaribisha matatizo, hivi ni kweli kuoa ni kukaribisha matatizo?
Uoga tu! wa vijana mbona zamani walioa na matatizo yalikuwepo.... hiyo inabaki kwa mtu binafsi kwanini haoi....
 
Mkuu kama uwezo wa kuingia kwenye ndoa huna basi subiri muda muafaka ufike huku ukiomba Mungu akupatie mwenza sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…