IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
KUKANUSHA UZUSHI WA TAARIFA YA KIPROPAGANDA JUU YA 4U MOVEMENT.
Uongozi wa 4U Movement Taifa unapenda kukanusha uvumi na Uzushi wa taarifa yenye kichwa cha habari kinachosomeka,
"UGOMVI MZITO WA NDANI YA CHADEMA KATI YA BAVICHA NA 4U MOVEMENT"
4U Movement imekuwa ikifanya kazi zake katika misingi ya kujitolea ambapo lengo lake kuu ni kuitengeneza jamii inayotambua misingi Mikuu Minne kuwa ndiyo nguzo ya kumpata kiongozi bora wa kulivusha taifa la Tanzania dhidi ya Umasikini uliokithiri, Kuboresha Misingi imara ya Elimu yenye Ushindani, kutengeneza Uchumi bora na Imara, Kuhuisha Sekta ya Viwanda na kuwa ya Ushindani, kuinua Jamii ya Wamachinga, Mama Ntilie, Boda boda, Walimu, Wafanyakazi, Wafanyabiashara na kuunganisha taifa kuwa moja na lenye sauti Moja.
Misingi hiyo minne inayotengeneza dhana ya 4U Movement ni,
#UTUMISHI ,
#UWAJIBIKAJI ,
#UMOJA na
#UZALENDO.
4U Movement ni chombo kisicho katika mlengo Wa kisiasa na hufanya kazi zake bila mwingiliano na chama cha kisiasa kwa kuwa ni chombo kinachojumuisha watu wa Rika tofauti na wenye mitazamo ya vyama tofauti.
Taarifa hiyo ina lengo ovu la kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa kuna msuguano kati ya 4U na Bavicha kitu ambacho si kweli na hii imetengenezwa na Wapinzani wa Mgombwa Urais kupitia Muungano wa Vyama Vinavyounda UKAWA Mh. Edward Lowassa kwa lengo la kuonesha mpasuko jambo ambalo si kweli.
Uongozi wa 4U taifa unasikitika sana kwa taifa hiyo na unawaomba wapenzi wa Chadema, 4U Movement, Bavicha, Wapenzi wa Lowassa na wapenda mabadiliko kupuuza taarifa hiyo maana ni ukweli usiofichika kuwa wenzetu wamekosa mwelekeo na hawana wanachokisimamia kwa kushindwa kujinadi kisera na kuamua kutumia propagabda yenye lengo la Ufarakanishi.
Uongozi wa 4U Movement unaomba radhi kwa usumbufu wowote ulijitokeza juu ya TAARIFA hiyo.
Imetolewa na Uongozi wa 4U Movement/ Friends of Lowassa, TAIFA.
***********************
Nakala ya Ujumbe huo.
UGOMVI MZITO WA NDANI YA CHADEMA KATI YA BAVICHA NA 4U MOVEMENT
katika hali isiyo ya kawaida vijana wa chadema wameingia katika mgogoro mzito kati yao chanzo kikubwa ikiwa ni mgawanyo wa kazi na kulipwa pesa. Bavicha ambao wao wanajiita chadema original wanawalalamikia vijana wa 4u movement walioletwa na lowassa kwa kujiona wao ndo kila kitu na kuwa mbele kwenye kila kitu chenye maslahi huku vijana wa bavicha wakidharauliwa na kuonekana hamna wanalolijua na kikubwa kinachowachukiza bavicha ni kauli za kibabe za vijana wa 4 u movement kusema chadema sasa ipo chini yao imenunuliwa na don wao so wao wakae pembeni kwenye mchakato huu. Ila pia uongozi wa bavicha kila unapofanya jitihada za kuonana na mwenyekiti wa chama anawaambia hana muda kuonana nao hali iliyopelekea mpasuko mkubwa ndani ya bavicha hali inayopelekea kumkumbuka mlezi wa dr.slaa.
Vijana wa bavicha wanamasikitiko makubwa sana kwani bavicha haipo tena bali ni 4u movement ndo imehodhi kila kitu.
Kingine ambacho bavicha wanalalamika ni vijana wa 4U movement kubadilisha mwenendo mzima wa taratibu za chadema kwa mfano suala la kubeba wanachama kwenye magari.
Bavicha wameamua kukaa kimya ila wanasema kura ni siri watamuonesha mwenyekiti wa chama kwamba hajafanya maamuzi sahihi.
Bavicha inakufa,chadema inakufa.
Chama kimeuzwa..