KIDOLEGUMBA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 498
- 110
Kwani akina mama,hawawezi kujikanda wenyewe?Wengi wamesema walitafuta watu wa kuwakanda,Sii mjikande wenyewe?
Habari zenu wadau,nina mwenza wangu ambaye anakaribia kujifungua. Kwa siku za hivi karibuni ananilalamika anaogopa kukandwa maji ya moto kwa sababu alivyojifungua mara ya kwanza anasema maji ya kukandia yalikuwa ya moto sana yalikuwa yanamuunguza ila alikuwa anavumilia maumivu, naomba kufahamishwa, je hakuna njia nyingine inayoweza kutumika zaidi ya hii ya kukandwa kwa mzazi anayejifungua?
Mkuu ni vizuri akasaidiwa kukandwa kwani yale maji ya moto husaidia zile damu zilizobakibaki kutoka.
Ila cha msingi yasiunguze jamani..kukandwa kuna umuhimu aisee asipuuzie damu zinaweza kubaki tumboni na akapata matatizo zaidi...
Akande Maji ya uuvuguvu kisha ajifunge kanga kwa nguvu ikaze tumboni ili tumbo lipate kurejea kama mwanzo asipo fanya hivyo tumbo lake litakuwa sio zuri litakuwa tumbo tepwe tepwe.Habari zenu wadau,nina mwenza wangu ambaye anakaribia kujifungua. Kwa siku za hivi karibuni ananilalamika anaogopa kukandwa maji ya moto kwa sababu alivyojifungua mara ya kwanza anasema maji ya kukandia yalikuwa ya moto sana yalikuwa yanamuunguza ila alikuwa anavumilia maumivu, naomba kufahamishwa, je hakuna njia nyingine inayoweza kutumika zaidi ya hii ya kukandwa kwa mzazi anayejifungua?
Kwani wewe Mtende hujuwi hayo mambo? hujawahi kuzaa nini? njoo nikuzalishe nikupe watoto 4 mapacha wawili wa kiume na wawili wa kike nikikupa mimba utazaa mapacha Double Usijaribu kwangu.Cc MziziMkavu, njoo utupe ushauri wa kitabibu kuhusu hii kitu
Akande Maji ya uuvuguvu kisha ajifunge kanga kwa nguvu ikaze tumboni ili tumbo lipate kurejea kama mwanzo asipo fanya hivyo tumbo lake litakuwa sio zuri litakuwa tumbo tepwe tepwe...
hahahaa,mkuu mimi sikukandwa wala sikufunga mavitamba wala hiyo mikanda mnayosema,kama mtu ana asili ya tumbo atakua nalo tu na kama mtu HANA tumbo atabaki kua hana,mimi sina tumbo,sijakandwa sijafunga mikanda ila nimekunywa sana supu za moto na uji,na hata ukiniangalia huwezi kujua kama nimezaa,ukiweka jukwaani nachukua taji la miss world
hahahaa,mkuu mimi sikukandwa wala sikufunga mavitamba wala hiyo mikanda mnayosema,kama mtu ana asili ya tumbo atakua nalo tu na kama mtu HANA tumbo atabaki kua hana,mimi sina tumbo,sijakandwa sijafunga mikanda ila nimekunywa sana supu za moto na uji,na hata ukiniangalia huwezi kujua kama nimezaa,ukiweka jukwaani nachukua taji la miss world
Ningojee nije nikupe hao mapacha mimi pia nimezaliwa mapacha ila mwenzangu amesha kwenda Akhera tangu mwaka 1991. Umenikumbusha pacha mwenzangu ahhh machozi yananitoka nime m -miss sana ukitaka fanya subira nikirudi nikupatie zawadi ya mapacha hhahahahah Mtendeasante mkuu,sasa hao mapaca ntawapataje maana napenda kweli twins
Ningojee nije nikupe hao mapacha mimi pia nimezaliwa mapacha ila mwenzangu amesha kwenda Akhera tangu mwaka 1991. Umenikumbusha pacha mwenzangu ahhh machozi yananitoka nime m -miss sana ukitaka fanya subira nikirudi nikupatie zawadi ya mapacha hhahahahah Mtende