The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,711
- 8,262
Siasa za Tanzania zimeingia patamu sasa. Maelekezo ya chama kwa wateule wake ya kusimamia na kuitekeleza ilani ya chama kwa nguvu zote yameingia shubiri.
Kosa la sabaya la kutumia vibaya madaraka na ofisi ya uma halimuachi mkurugenzi yoyote wa halimashauri na miji wala jiji salama.
Mfano mzuri ni ukwapuaji wa form za wagombea wa upinzani na matumizi ya mabavu kwa wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa 2020.
CCM imefitinika na wanaulizana ni nani aliye msafi? nani wa kumhukumu mwenziye? ama hakika mwanadamu hana kimbilio lingine ila kwa Mungu. "Amelaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".