Kukamatwa na kufunguliwa mashitaka Sabaya kumewagawa CCM. Ama kweli Anguko lao limekaribia

Huo ndio ukweli CCM inapoteza ile popularity kwa sababu za kijinga ikiwemo mambo kama vile kutaka kumkomoa JPM. Read it carefuly
Kwani JPM alipo waweka ndani wahalifu wa enzi za JK mbona hamkulalamika? Inamaana JPM alifanya kazi na watakatifu? Ole sabaya alikuwa ni kiongozi aliye lewa madaraka na akafanya ujinga mwingi sana huyo JPM anamfumbia macho kwa sababu tu alikuwa akitimiza matakwa yake, sasa asishtakiwe eti kisa itaonekana JPM anakomolewa? Mawazo haya ni yakipumbavu.

Nani asiye jua ujinga alio kuwa akiufanya sabaya hai na genge lake ? Msiwe watafuta huruma kutetea wahalifu kwa kigezo eti JPM anakomolewa bado makonda na mnyeti maana nao mafaili yao ni machafu sana hayavumiliki.
 
Siasa za Tanzania zimeingia patamu sasa. Maelekezo ya chama kwa wateule wake ya kusimamia na kuitekeleza ilani ya chama kwa nguvu zote yameingia shubiri.

Kosa la sabaya la kutumia vibaya madaraka na ofisi ya uma halimuachi mkurugenzi yoyote wa halimashauri na miji wala jiji salama.

Mfano mzuri ni ukwapuaji wa form za wagombea wa upinzani na matumizi ya mabavu kwa wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa 2020.

CCM imefitinika na wanaulizana ni nani aliye msafi? nani wa kumhukumu mwenziye? ama hakika mwanadamu hana kimbilio lingine ila kwa Mungu. "Amelaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".
Hihihihi
 
Bado tu wimbo wa kugawanyika ccm unaimbwa? Samia keshapata uenyekiti bila kupingwa yaani ccm ile unayoifahamu ndo ipo madarakani. Ile uliyoizoea ile. Ile Iliyomleta JPM hiyo hiyo ndiyo sasa inaijiimarisha zaidi.
 
Siasa za Tanzania zimeingia patamu sasa. Maelekezo ya chama kwa wateule wake ya kusimamia na kuitekeleza ilani ya chama kwa nguvu zote yameingia shubiri.

Kosa la sabaya la kutumia vibaya madaraka na ofisi ya uma halimuachi mkurugenzi yoyote wa halimashauri na miji wala jiji salama.

Mfano mzuri ni ukwapuaji wa form za wagombea wa upinzani na matumizi ya mabavu kwa wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa 2020.

CCM imefitinika na wanaulizana ni nani aliye msafi? nani wa kumhukumu mwenziye? ama hakika mwanadamu hana kimbilio lingine ila kwa Mungu. "Amelaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".
Ulafi wa madaraka ni sumu kwa maendeleo ya nchi yoyote ile ccm wajitafakari kuongoza siyo kutumia nguvu sana,ni jambo jema kutekeleza wajibu wako vizuri,wananchi wavutiwe na utendaji wako siyo kulazimisha watu wakupende hata kama hufai,tukumbuke 'Chema chajiuza,Kibaya chajitembeza."
 
Siasa za Tanzania zimeingia patamu sasa. Maelekezo ya chama kwa wateule wake ya kusimamia na kuitekeleza ilani ya chama kwa nguvu zote yameingia shubiri.

Kosa la sabaya la kutumia vibaya madaraka na ofisi ya uma halimuachi mkurugenzi yoyote wa halimashauri na miji wala jiji salama.

Mfano mzuri ni ukwapuaji wa form za wagombea wa upinzani na matumizi ya mabavu kwa wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa 2020.

CCM imefitinika na wanaulizana ni nani aliye msafi? nani wa kumhukumu mwenziye? ama hakika mwanadamu hana kimbilio lingine ila kwa Mungu. "Amelaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".
mwisho unakaribia
 
Sisiemu ya rais Samia ikianguka kifo cha mende wala sina wasiwasi nayo. Naomba litokee hili. Huwezi kuwa dhaifu utegemee kushinda
 
Samia siyo dhaifu,dhaifu ni Magufuri ambaye hakutaka kukosolewa akatumia madaraka yake vibaya kwa kujaza vibaka kwenye utawala wake na wakazaliwa watu wasiojulikana kwa sababu ya ushenzi wake,mwisho wake corona ikamchukua sasa wanamtuhumu Kikwete kwa sababu ya upumbavu wao.
 
Usinipangie, kwangu mie samia ni dhaifu kwako ni imara.
Kwa dharula iliyotokea hussein mwinyi au majaliwa ndio wangefiti kuongoza hii nchi
 
Siyo kukupangia subiri muda upite hata mwaka mmoja na nusu uone kama mama Samia ni dhaifu,hata team yake bado hajamaliza kuipanga ulishaanza nyimbo zako,hii ni aibu.
 
Siasa za Tanzania zimeingia patamu sasa. Maelekezo ya chama kwa wateule wake ya kusimamia na kuitekeleza ilani ya chama kwa nguvu zote yameingia shubiri.

Kosa la sabaya la kutumia vibaya madaraka na ofisi ya uma halimuachi mkurugenzi yoyote wa halimashauri na miji wala jiji salama.

Mfano mzuri ni ukwapuaji wa form za wagombea wa upinzani na matumizi ya mabavu kwa wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa 2020.

CCM imefitinika na wanaulizana ni nani aliye msafi? nani wa kumhukumu mwenziye? ama hakika mwanadamu hana kimbilio lingine ila kwa Mungu. "Amelaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".
JamiiForums-578505049.jpg
JamiiForums801128196.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinipangie, kwangu mie samia ni dhaifu kwako ni imara.
Kwa dharula iliyotokea hussein mwinyi au majaliwa ndio wangefiti kuongoza hii nchi
Kwa nini asijitokeze au tuungane tukamtoe pale na kumsukumizia mavitambaa kule naseema kule🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom