Kukamatwa kwa Wabunge wa CHADEMA: Spika Ndugai uliyakumbuka na uliyasimamia maneno yako haya?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Jana, kulikuwa na taarifa ya kukamatwa na baadaye kuachiwa kwa Wabunge kadhaa wa CHADEMA kwa kile kinachotajwa kutokea tafrani ya kimaneno baina yao na Mbunge wa Viti Maalum-CCM, Juliana Shonza.

Kwa video ninayoiweka hapa chini, Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai aliyakumbuka na kuyasimamia maneno yake hasa yahusuyo kukamatwa kwa Wabunge wakiwa maeneo ya Bunge? Jionee video hii (hasa kuanzia dakika ya 4:12...)

 
Back
Top Bottom