Endapo nimebaini mume wangu ameshiriki tendo la ndoa nje ya ndoa na nimepata Meseji kama ushahidi je naweza fungua kesi kwa huyo aliyetembea na mume wangu?
Sawa, ahsante kwa ushaurihakuna sheria ya kumshitaki mgoni wako labda kama amekupiga linakuwa kosa la shambulio kuwa amekudhuru wewe. Na hakuna sheria ya kumtia hatiani mzinzi. Sheria iliyopo ni wewe kupeleka hizo message mahakamani au balaza la usuluhishi ukidai mumeo si mwaminifu katika ndoa na hivyo unadai talaka.
Kama hutaki talaka kwa sasa....vumilia au zungumza naye for councelling. Afterall kwa wanaume sex is physical contact no spiritual attachment kama wanawake. Si ajabu mumeo wala hamkumbuki huyo mwanamke.
Endapo nimebaini mume wangu ameshiriki tendo la ndoa nje ya ndoa na nimepata Meseji kama ushahidi je naweza fungua kesi kwa huyo aliyetembea na mume wangu?
mkuu,sheria ya ndoa inaruhusu kumfungulia shauri mahakamani mgoni wako!lakini inatakiwa ufungue kesi kwa wote wawili mumeo km mjibu madai namba moja na huyo mgoni kama mjibu madai namba mbili(first n second respondent)...mahakamani utathibitisha huo uzinzi wa mumeo na huyo kimada,lkn itakupasa pia uthibitishe kuwa wakati huyo mgoni anatembea na mumeo alikuwa akijua fika kuwa anatembea na mume wa mtu,kama yeye atafanikiwa kuithibitishia na kuiridhisha mahakama kwamba alikuwa hajui kbs km anatembea na mume wa mtu bc hatokuwa na liability...na wewe ukifanikiwa ktk ilo shauri lko la ndoa,adhabu pekee kwa huyo mgoni ni kukulipa fidia tu kwa kadiri mahakama itavoona inafaa.Haya nimewaelewa
Hahahaaaa aisee umenifanya nicheke mno!!!we mtafute mtukane umalize hacra zakoooo ..ila kama huna nguvu ni bora utulie unaweza kupata maumivu mara 2 uchukuliwe mume na pia uchezee kichapooo.....kama huna ubavu kaa kimya komaa na mumeo
Hakuna sheria isiyokuwa na mwanya (loop hole). Soma, consult watu. Kama alikutukana hata kwenye simu, alikuwa anakupigia simu mara kwa mara. We mtafutie kesi. Kama si huyo basi atakayefuata (kama ni tabia ya mume wako lazima atafanya na mwingine). Otherwise fanya kama wanavyofanya wanawake wengine, endelea na maisha huku ukijipanga kivyako vyako bila yeye kufahamu. All is fair in love and war.Haya nimewaelewa