Kukabidhi nchi UKAWA!

Kukabidhi nchi UKAWA!

Jofeya

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
50
Reaction score
27
Hello JF members,

Nimejiuliza muda mrefu kuwa UKAWA tayari ina watu wengi ambao inaonekana kuna uwezekano mkubwa Wa CCM kuangushwa! Najua huku kuna watu walio sehemu nyeti za hii nchi. Je, ikionekana UKAWA wameshinda hii serekali iliyoko madarakani itakabidhi nchi upinzani? Wadau naomba mawazo yenu ila tusisahau mahakama ya "The hague ipo" na inafanya kazi kwa umakini mkubwa sana.
 
kinachojiri Zenji jamani au hakuna jf kule?
 
Nchi nyingi za Africa zinaingia kny machafuko kwasababu ya issue kama hii, upinzani ukishinda basi chama tawala huwa hwakubali kuachia dola hili ni tatizo sana,Labda kwa kutumia nguvu ya umma.
 
Hello jf members,

Nimejiuliza muda mrefu kuwa UKAWA tayar Ina watu wengi ambao inaonekana kuna uwezekano mkubwa Wa CCM kuangushwa! najua huku kuna watu walio sehemu nyeti za hii nchi...je ikionekana UKAWA wameshinda hii serekali iliyoko madarakani itakabidhi nchi upinzani??? Wadau naomba mawazo tenu..ila tusisahau mahakama ya "The hague ipo" na inafanya kazi kwa umakini mkubwa sana.

Wa kwanza kukamatwa atakuwa Nape, akifuatiwa na Riziwani.
 
Mkulu akabidhi tu nchi atakumbukwa sana..kwan kipindi chake kimeisha.the good things ni kwamba rais wetu huwa anasoma upepo so mambo yatakuwa shwari tu.
 
itabidi wakabidhi tu nchi, hata kama wasipokabidhi watawaongoza watu wasiowataka?
 
Back
Top Bottom