hahahhaahhahhahaha eti nina mimba yako na sina mpango wa kuitoa!ndo yanawafaa nyie haya majibu ya aina hii!Uswahilini noma watoto wa kike wengi hawana shughuli wala elimu, wanachongojea waolewe na watunzwe. Ukijichomeka tu, unategewa bomu, ukikanyaga baada ya miezi miwili unaambiwa nina mimba yako na sina mpango wa kuitoa!!
hahahhaahhahhahaha eti nina mimba yako na sina mpango wa kuitoa!ndo yanawafaa nyie haya majibu ya aina hii!
Walikuwa wanapima upepo wakwanza na wapili wapi kuna ahuweni jamaa zigo likaangukia kwake
usije ukajaribu hata siku moja umeoa mwanamke ambaye alikwisha zalishwa zamani ukamlea na kumgharimikia huyo mtoto ambaye siye wako jua kabisa kwamba hata ukimsomesha na kumgharimikia akikua na kupata maendeleo hata kukumbuka kabisa badala yake ataenda kumtafuta baba yake aliyemkimbia na kumkataa na kama ameshafariki ataenda kuwatafuta ndugu wa baba yake waliomkataa na kuanza kuwaonga na kuwanufaisha kwa kazi uliyoifanya wewe na mateso uliyopata wewe kwa kumsomesha.Hili sio utani nimeliona sio mara moja ni mara nyingi sana usije kujisumbua na mtoto ambaye si wako hata siku moja au utakuja juta milele.

Acha hii mambo kaka, ni ya KIZAMANI sanaaa, MTOTO HANA KOSA NI MALAIKA, Kama uwezo unao we mlee tu na Mungu Atakubarikia. Hata wa kwako mwenyewe waweza kumlea na AKAKUTELEKEZA VILE VILE. Stop the stereo typing people, mtoto ni malaika na nagekuwa na uwezo ANGEOMBA azaliwe in a different situation, but it was not its choice, kila mtoto ANA RIZIKI YAKE kwa mola, kwa kumlea tu yule malaika Mungu atakufungulia milango kibao sio mpaka ungoje akue.
Agirl can make a mistake, but dnt make the baby pay for it. Yaani i have a sister ameolewa ila anaishi na mtoto alimzaa usichanani, The husband amekubali waishi nae ila ANAMBAGUA sanaaa huyo mtoto, n my sis anaona sawa tu ili kubembeleza NDOA. MF!!!!!!!!! Nakerekaga sanaaa! Iko siku nitamwambia baba wa mtoto aende akachuke Mtoto wake!
Kumbe baba mtoto yupo?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
usije ukajaribu hata siku moja umeoa mwanamke ambaye alikwisha zalishwa zamani ukamlea na kumgharimikia huyo mtoto ambaye siye wako jua kabisa kwamba hata ukimsomesha na kumgharimikia akikua na kupata maendeleo hata kukumbuka kabisa badala yake ataenda kumtafuta baba yake aliyemkimbia na kumkataa na kama ameshafariki ataenda kuwatafuta ndugu wa baba yake waliomkataa na kuanza kuwaonga na kuwanufaisha kwa kazi uliyoifanya wewe na mateso uliyopata wewe kwa kumsomesha.Hili sio utani nimeliona sio mara moja ni mara nyingi sana usije kujisumbua na mtoto ambaye si wako hata siku moja au utakuja juta milele.
Yupo hai! Tena anaishi kifalme huko ulaya na familia yake ingine. Ishu ni kuwa walikuwa wote ila things didnt work out, ila ndo walishapat mtoto, basi mama akashinda custody, alipompata huyu new lovee ndo wakaona wameza ila mtoto wanaishi nae. The dady anajua mtoto yupo na mama yake atakuwa poa, sasa mi ndo nataka nikinukishe.
Mkuu nakubaliana na ww sana! Nilikuwa na demu m1 wa kihindi alikuwa mzuri kweli mpole mjanja ana akili ya maisha nn. Ila tatizo alikuwa na mtoto anakaa na mama yake. Na aliniambia mwenyewe kuwa ana mtoto. Lkn nkaachana nae. Ni ngumu sana hata ndugu zako watakuona wa ajabu sana. Kuna k2 huwa naaamini demu akiamua kukuzalia mtoto jua anakupenda sana cz kuzaa ni either kifo au uhai. So going thru kifo au uhai anakupenda kiukweli. N naamini pia always mtoto ni kiungo. Kamwe hamuwezi kuachana moja kwa moja. Lazima mtakuwa mnakumbushia vya zamani one tym one tym
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
NOT NECESSARLY!!!! Wasichana wengi hawapangi kuzaa ila NI BAHATI MBAYA sababu ya kutumia Calenda, na kukosa ujasiri wa kuchoropoa. Wengi sanaa kama wangeweza kurewind maisha wasingebeba mimba. Na baba mtoto mkikorofishana BETRAYAL YAKE NI KUBWA SANAAA si rahisi mtu kusamehe wala kusahua kirahisi!!!!!!!!! Wengi hata hawaongeagi.
Wasichana walio zaa ni wazuri sanaaa, 1. kupata mtu mwengine wa kuwaoa inakuwa kama a golden chance, na kama life has decided to give them a last chance, hawakubaligi kuipoteza kirahis!! Watafagia chini upite. Na wanakuwa wamekomaa na wamejua udanganifu wote wa MIDUME.