kwanza huyo shemeji yako uliwahi kutambuliswha hapo awali?i mean unamjua kama shemeji yako tokea siku nyingi au ameibukia from nowhere?maanek isije ikawa ni mume mweznio maanake huo ukarbi sasa hapana ni too much,
waungwana hawachelewi kumwambia 'unamegewa hapo'!!Mmmh ngoja waungwana waseme hapo
Mko wengi nyie na nilitazamia watu kama nyinyi kujitokeza sishangai
"Roho ngumu" yaani baada ya ushauri huu hapa najua atakuwa na pa kuanzia pazuri tu.
Unajua haya maisha ya "DNA TEST" magumu sana utakuta jamaa kaja kuweka mimba tu halafu aondoke.
Stop complicating.Mleta uzi si kama hajafanya jitihada,halafu watu si wajinga kama ufikiriavyo na binafsi sioni aibu hapa unayoizungumzia.By the way nini maana ya uwepo wa hili jukwaa? Vitu vingine muwe mnawaza kabla ya kupingana navyo jamaniYaani ww ..
1. Hukustagili kuoa ,.inaonyesha hukuwa tayari kuoa ,umekutupuka .
2. Mwanaume kamili tena anayesema ana mkr na watoto ,maswala ya kifamilia kama Baba wa nyumba ilikupasa kuyamaliza mwnyewe,hususani swala dogo kama hilo . Ww ndio kichwa .
3. Kuomba ushauri wa kifamilia kwenye Mitandao ya kijamii ni kuiabisha Familia yako ,zaidi ni huyo unayemuita mkeo. Kama swala lilikua kubwa na una uhakika ulifuata taratibu zote za ndoa basi kilichokupasa ni kuchukua hatua za kunuonana na mshauri wako wa ndoa ,na sio kuja kuanika mambo ya familia yako huku .
4. Hujui wajibu wako kwenye ndoa mpaka sasa ,mke kakukalia kooni.
5. Na mwisho ,acha kuiaibisha familia ,zaidi mkeo.
Mbege zoea tu ni kawaida.
Stop complicating.Mleta uzi si kama hajafanya jitihada,halafu watu si wajinga kama ufikiriavyo na binafsi sioni aibu hapa unayoizungumzia.By the way nini maana ya uwepo wa hili jukwaa? Vitu vingine muwe mnawaza kabla ya kupingana navyo jamani
Amegewe? dah unanikumbusha wimbo wa Bizman "Ametoroshwa" isije jamaa ikamkuta hii maana sielewi huyo shemeji na dada yakewaungwana hawachelewi kumwambia 'unamegewa hapo'!!
Mmmh ngoja waungwana waseme hapo
Ukiona hivyo ujue yamenizidi ndo maana nimewaachia uwanja waungwanaNawe pia ni muungwana