Kukaa Hostel au kupanga nje kipi bora

Kukaa Hostel au kupanga nje kipi bora

sir doctor

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
291
Reaction score
66
Wadau bora IPI kwa maisha ya chuo??????? Kuishi hostel za chuo au kupanga mwenywe out campus?????
 
Kama ndio mwaka wa kwanza apo chuo&ni mgeni maeneo hayo anza na hostel
 
Chuo Kikuu ni kuwa wewe umekuwa mtu wa kujiamini na unajitambua, wakati mwingine maisha ya kushare vitanda, ndoo za kuogea, vifaa vya chakula, maliwato katika jumuia kubwa kama hiyo si salama sana kwa afya yako kiakili/kisaikolojia na kimwili kwa ujumla, watu wametofautiana hulka. Ila sasa inatulazimu kubakia hostel kwa sababu tu za kiuchumi. Vyuo vingine havina vitanda na hostel za kutosha kwa wanachuo athari yake ni kuwa kitanda cha mtu mmoja wanalala 2 au chumaba cha watu wawili wanakaa vijana sita, hilo lipo vyuo vingi ukanda wa Dar es Salaam.

Sasa ukiwa unajiweza kiuchumi basi tafuta room mtaani lipia, weka ratiba yako vizuri na pangilia mambo yako vizuri uanze kukua kifikra kwani boom likianza sio tu kununua simu na subwoofer basi fikiria kuwekeza mtaji utakaokusaidia siku ukidisco na kurudi mtaani au ukimaliza masomo, jibajeti mwenyewe matumizi, ukijitahidi limbikiza vijisent vyako mwisho wa siku nunua bajaji weka kijiweni huku kitabu kinasonga mbele.

Mfano: kwa miezi miwili meal and acomodation mnapewa 450,000/= sasa ukiwa hostel bajeti yako iko hivi, asubuhi chai ni 1000/= mchana lunch ni 1500 +500 maji, jioni dinner 1500+ maji. Jumla kwa siku 5000/= kadrio la chini, kwa mwezi 150,000/= Sasa ukiwa peke yako umepanga somewhre kwa chakula tu permonth haifiki hiyo laki na hamsini, na unajikuta katika boom lako unasave pesa kibao ili mradi uwe na akili ya matumizi ya pesa.

Zamani tulifikiri ukifika UNIVERSITY ndio mwisho wa yote we ni kuku mrija tu la hasha maisha sasahivi ni ya kusoma namba kila kona. Nakushauri katumie muda wako na rasirimali za mikopo vizuri, ujiinue kimaisha na ujue kuwasaidia wadogo na ndugu zako uliowaacha kijijini.
 
Hivi ni kila Chuo kina hostel na ukitaka kuwahi hostel unawahi chuo au inakuwaje?
 
Nimeipenda sana Mkuu God bless
 
St john dodoma
kama una mpango wa kutumia boom vizuri ili kuwekeza kwenye viujasiria mali vidogovidogo vije vikusaidie ukihitimu chuo hebu kapange chumba! ila kama kama. unapenda mauzo sana na kumiliki wanawake na kumiliki smartphone mbilimbili nenda hostel....
Nakushauri hebu kapange chumba mtaani ata hutafanikiwa kwa semister hii ya kwanza! Itakusaidia kubana matumizi kwani baadhi ya vyakula ni rahisi kutoka navyo nyumbani ila hostel kila unachomeza lazma ukilipie .....ila wanaokaa hostel ndo hujiona wajanja sana
 
Chuo Kikuu ni kuwa wewe umekuwa mtu wa kujiamini na unajitambua, wakati mwingine maisha ya kushare vitanda, ndoo za kuogea, vifaa vya chakula, maliwato katika jumuia kubwa kama hiyo si salama sana kwa afya yako kiakili/kisaikolojia na kimwili kwa ujumla, watu wametofautiana hulka. Ila sasa inatulazimu kubakia hostel kwa sababu tu za kiuchumi. Vyuo vingine havina vitanda na hostel za kutosha kwa wanachuo athari yake ni kuwa kitanda cha mtu mmoja wanalala 2 au chumaba cha watu wawili wanakaa vijana sita, hilo lipo vyuo vingi ukanda wa Dar es Salaam.

Sasa ukiwa unajiweza kiuchumi basi tafuta room mtaani lipia, weka ratiba yako vizuri na pangilia mambo yako vizuri uanze kukua kifikra kwani boom likianza sio tu kununua simu na subwoofer basi fikiria kuwekeza mtaji utakaokusaidia siku ukidisco na kurudi mtaani au ukimaliza masomo, jibajeti mwenyewe matumizi, ukijitahidi limbikiza vijisent vyako mwisho wa siku nunua bajaji weka kijiweni huku kitabu kinasonga mbele.

Mfano: kwa miezi miwili meal and acomodation mnapewa 450,000/= sasa ukiwa hostel bajeti yako iko hivi, asubuhi chai ni 1000/= mchana lunch ni 1500 +500 maji, jioni dinner 1500+ maji. Jumla kwa siku 5000/= kadrio la chini, kwa mwezi 150,000/= Sasa ukiwa peke yako umepanga somewhre kwa chakula tu permonth haifiki hiyo laki na hamsini, na unajikuta katika boom lako unasave pesa kibao ili mradi uwe na akili ya matumizi ya pesa.

Zamani tulifikiri ukifika UNIVERSITY ndio mwisho wa yote we ni kuku mrija tu la hasha maisha sasahivi ni ya kusoma namba kila kona. Nakushauri katumie muda wako na rasirimali za mikopo vizuri, ujiinue kimaisha na ujue kuwasaidia wadogo na ndugu zako uliowaacha kijijini.
Daah kwl kaka umeongeaa
 
Nadhani inategemea na chuo,eneo na kozi

Kuna maeneo mengine vyumba karibu na chuo ni expensive na maisha kwa ujumla maana kodi,umeme,maji,usafi,taka zote unazilipia.

Sometimes unabanwa shule imetight unashindwa kupika mfano during exams inabidi ule nje hivyo expenses zinaongezeka

Kama una uhakika wa backup pesa ikikuishia mtaani ni pazuri ila kwa uzoefu wangu mimi,kitaa kuna matumizi mengi kuliko hostel

Sio kozi zote unaweza kujigawa unasoma huku unafanya business au mradi wa kugenerate pesa,watakaoenda kusoma kozi za afya watakua mashahidi
 
Chuo Kikuu ni kuwa wewe umekuwa mtu wa kujiamini na unajitambua, wakati mwingine maisha ya kushare vitanda, ndoo za kuogea, vifaa vya chakula, maliwato katika jumuia kubwa kama hiyo si salama sana kwa afya yako kiakili/kisaikolojia na kimwili kwa ujumla, watu wametofautiana hulka. Ila sasa inatulazimu kubakia hostel kwa sababu tu za kiuchumi. Vyuo vingine havina vitanda na hostel za kutosha kwa wanachuo athari yake ni kuwa kitanda cha mtu mmoja wanalala 2 au chumaba cha watu wawili wanakaa vijana sita, hilo lipo vyuo vingi ukanda wa Dar es Salaam.

Sasa ukiwa unajiweza kiuchumi basi tafuta room mtaani lipia, weka ratiba yako vizuri na pangilia mambo yako vizuri uanze kukua kifikra kwani boom likianza sio tu kununua simu na subwoofer basi fikiria kuwekeza mtaji utakaokusaidia siku ukidisco na kurudi mtaani au ukimaliza masomo, jibajeti mwenyewe matumizi, ukijitahidi limbikiza vijisent vyako mwisho wa siku nunua bajaji weka kijiweni huku kitabu kinasonga mbele.

Mfano: kwa miezi miwili meal and acomodation mnapewa 450,000/= sasa ukiwa hostel bajeti yako iko hivi, asubuhi chai ni 1000/= mchana lunch ni 1500 +500 maji, jioni dinner 1500+ maji. Jumla kwa siku 5000/= kadrio la chini, kwa mwezi 150,000/= Sasa ukiwa peke yako umepanga somewhre kwa chakula tu permonth haifiki hiyo laki na hamsini, na unajikuta katika boom lako unasave pesa kibao ili mradi uwe na akili ya matumizi ya pesa.

Zamani tulifikiri ukifika UNIVERSITY ndio mwisho wa yote we ni kuku mrija tu la hasha maisha sasahivi ni ya kusoma namba kila kona. Nakushauri katumie muda wako na rasirimali za mikopo vizuri, ujiinue kimaisha na ujue kuwasaidia wadogo na ndugu zako uliowaacha kijijini.

Mkuu sijui nikupe likes ngapi

Kwa kuongezea watu wengi wanatumia hovyo boom ase wanaruka sana viwanja mwisho wa siku pesa inawaishia mapema

Cha muhimu tumieni pesa vzr wekeza

Nakumbuka mm nilikuwa nakaa hom sabb syo mbal

Nilinunua bodaboda 2 kwa boom yao

Lkn inasikitisha vijana wengi hawajitambui wakimaliza chuo wanaanza Kulalamika maisha magumu wkt hawakutumia vzr resources zao kubadilisha mara kwa mara smart phone,disko nk vina umuhimu gani

Piga kitabu ,Fanya vitu vya maana.
 
Chuo Kikuu ni kuwa wewe umekuwa mtu wa kujiamini na unajitambua, wakati mwingine maisha ya kushare vitanda, ndoo za kuogea, vifaa vya chakula, maliwato katika jumuia kubwa kama hiyo si salama sana kwa afya yako kiakili/kisaikolojia na kimwili kwa ujumla, watu wametofautiana hulka. Ila sasa inatulazimu kubakia hostel kwa sababu tu za kiuchumi. Vyuo vingine havina vitanda na hostel za kutosha kwa wanachuo athari yake ni kuwa kitanda cha mtu mmoja wanalala 2 au chumaba cha watu wawili wanakaa vijana sita, hilo lipo vyuo vingi ukanda wa Dar es Salaam.

Sasa ukiwa unajiweza kiuchumi basi tafuta room mtaani lipia, weka ratiba yako vizuri na pangilia mambo yako vizuri uanze kukua kifikra kwani boom likianza sio tu kununua simu na subwoofer basi fikiria kuwekeza mtaji utakaokusaidia siku ukidisco na kurudi mtaani au ukimaliza masomo, jibajeti mwenyewe matumizi, ukijitahidi limbikiza vijisent vyako mwisho wa siku nunua bajaji weka kijiweni huku kitabu kinasonga mbele.

Mfano: kwa miezi miwili meal and acomodation mnapewa 450,000/= sasa ukiwa hostel bajeti yako iko hivi, asubuhi chai ni 1000/= mchana lunch ni 1500 +500 maji, jioni dinner 1500+ maji. Jumla kwa siku 5000/= kadrio la chini, kwa mwezi 150,000/= Sasa ukiwa peke yako umepanga somewhre kwa chakula tu permonth haifiki hiyo laki na hamsini, na unajikuta katika boom lako unasave pesa kibao ili mradi uwe na akili ya matumizi ya pesa.

Zamani tulifikiri ukifika UNIVERSITY ndio mwisho wa yote we ni kuku mrija tu la hasha maisha sasahivi ni ya kusoma namba kila kona. Nakushauri katumie muda wako na rasirimali za mikopo vizuri, ujiinue kimaisha na ujue kuwasaidia wadogo na ndugu zako uliowaacha kijijini.
Duuuh brother umesema kitu kinaeleweka sana isee, respect!!!!!!!!!!!!!!
 
Perfect
 
Back
Top Bottom