Kukaa Hostel au kupanga nje kipi bora

Kukaa Hostel au kupanga nje kipi bora

Chuo Kikuu ni kuwa wewe umekuwa mtu wa kujiamini na unajitambua, wakati mwingine maisha ya kushare vitanda, ndoo za kuogea, vifaa vya chakula, maliwato katika jumuia kubwa kama hiyo si salama sana kwa afya yako kiakili/kisaikolojia na kimwili kwa ujumla, watu wametofautiana hulka. Ila sasa inatulazimu kubakia hostel kwa sababu tu za kiuchumi. Vyuo vingine havina vitanda na hostel za kutosha kwa wanachuo athari yake ni kuwa kitanda cha mtu mmoja wanalala 2 au chumaba cha watu wawili wanakaa vijana sita, hilo lipo vyuo vingi ukanda wa Dar es Salaam.

Sasa ukiwa unajiweza kiuchumi basi tafuta room mtaani lipia, weka ratiba yako vizuri na pangilia mambo yako vizuri uanze kukua kifikra kwani boom likianza sio tu kununua simu na subwoofer basi fikiria kuwekeza mtaji utakaokusaidia siku ukidisco na kurudi mtaani au ukimaliza masomo, jibajeti mwenyewe matumizi, ukijitahidi limbikiza vijisent vyako mwisho wa siku nunua bajaji weka kijiweni huku kitabu kinasonga mbele.

Mfano: kwa miezi miwili meal and acomodation mnapewa 450,000/= sasa ukiwa hostel bajeti yako iko hivi, asubuhi chai ni 1000/= mchana lunch ni 1500 +500 maji, jioni dinner 1500+ maji. Jumla kwa siku 5000/= kadrio la chini, kwa mwezi 150,000/= Sasa ukiwa peke yako umepanga somewhre kwa chakula tu permonth haifiki hiyo laki na hamsini, na unajikuta katika boom lako unasave pesa kibao ili mradi uwe na akili ya matumizi ya pesa.

Zamani tulifikiri ukifika UNIVERSITY ndio mwisho wa yote we ni kuku mrija tu la hasha maisha sasahivi ni ya kusoma namba kila kona. Nakushauri katumie muda wako na rasirimali za mikopo vizuri, ujiinue kimaisha na ujue kuwasaidia wadogo na ndugu zako uliowaacha kijijini.
Daaah,,,,watu kama ninyi ndo mnafaa ktj jamiii !,,,sante sana nimejifunza nikienda first year nitajitahd kuyaishi uliyo nena
 
Mimi chuo nnachosoma watu wanajiheshimu, ukiishi hostel gharama zinakuwa ndogo kuliko kupanga nje, maji yanaflow 24 hrs, bafuni hakuna haja ya kwenda na ndoo, shower zinafanya kazi na zikiharibika zinatengenezwa, chooni flushing system iko bomba! Ukipanga kila siku kugombana na wapangaji wenzio kulipia bill ya maji na umeme.
 
Nadhani inategemea na chuo,eneo na kozi

Kuna maeneo mengine vyumba karibu na chuo ni expensive na maisha kwa ujumla maana kodi,umeme,maji,usafi,taka zote unazilipia.

Sometimes unabanwa shule imetight unashindwa kupika mfano during exams inabidi ule nje hivyo expenses zinaongezeka

Kama una uhakika wa backup pesa ikikuishia mtaani ni pazuri ila kwa uzoefu wangu mimi,kitaa kuna matumizi mengi kuliko hostel

Sio kozi zote unaweza kujigawa unasoma huku unafanya business au mradi wa kugenerate pesa,watakaoenda kusoma kozi za afya watakua mashahidi
Usome bachelor of Pharmacy au Nursing au MD halafu na biashara ufanye, kama una akili za kuchaji kila wakati jiandae na supplementary exam kila mwaka
 
Kwani lazima ufanye we we??? Unaweza Fanya indirect business kupitia marafiki au familia jambo la msingi hapa ni kubana matumizi
 
Usome bachelor of Pharmacy au Nursing au MD halafu na biashara ufanye, kama una akili za kuchaji kila wakati jiandae na supplementary exam kila mwaka

Kweli mkuu,kama source yako ya income haiko stable mtaani sio pazuri sana pana ugumu am speaking from experience

Kama kwenu maisha ni ya kawaida kakae hostel usisumbue wazazi kodi ikiisha
 
Life la kupanga nje n zuri kama ukiwa unapangalia budget, mana ukikaa hostel za chuo hata ukiishiwa hauwezi kupika wala kuchemsha maji yako ya kunywa, kila kitu hostel n pesa halafu pia unakuwa haupo huru na vitu vyako mana ukiacha vibaya unaweza ukakuta kimeibiwa na hostel member n.k. ila kwa wanaopinga starehe chuo hao nao wanamatatizo kwa sababu siku mojamoja lazima ukarefresh akili kidogo kucheza mziki n.k
Usipofanya starehe chuo unaweza ukajikuta unafanya starehe ukiwa na familia au uzeen halafu ikawa kituko.
 
[emoji1] [emoji2]
 
Mimi chuo nnachosoma watu wanajiheshimu, ukiishi hostel gharama zinakuwa ndogo kuliko kupanga nje, maji yanaflow 24 hrs, bafuni hakuna haja ya kwenda na ndoo, shower zinafanya kazi na zikiharibika zinatengenezwa, chooni flushing system iko bomba! Ukipanga kila siku kugombana na wapangaji wenzio kulipia bill ya maji na umeme.
Wapi hii mkuu
 
Nimeishi hiyo hostel unayosema 1st year kweli pale watu wastaarabu sana and I really enjoyed the life ther, ila badae nilipohamia mtaani nikagundua mtaani maisha matam sana mkiishi watu wa aina moja. pia akili inapanuka coz u live the real life.
 
Chuo Kikuu ni kuwa wewe umekuwa mtu wa kujiamini na unajitambua, wakati mwingine maisha ya kushare vitanda, ndoo za kuogea, vifaa vya chakula, maliwato katika jumuia kubwa kama hiyo si salama sana kwa afya yako kiakili/kisaikolojia na kimwili kwa ujumla, watu wametofautiana hulka. Ila sasa inatulazimu kubakia hostel kwa sababu tu za kiuchumi. Vyuo vingine havina vitanda na hostel za kutosha kwa wanachuo athari yake ni kuwa kitanda cha mtu mmoja wanalala 2 au chumaba cha watu wawili wanakaa vijana sita, hilo lipo vyuo vingi ukanda wa Dar es Salaam.

Sasa ukiwa unajiweza kiuchumi basi tafuta room mtaani lipia, weka ratiba yako vizuri na pangilia mambo yako vizuri uanze kukua kifikra kwani boom likianza sio tu kununua simu na subwoofer basi fikiria kuwekeza mtaji utakaokusaidia siku ukidisco na kurudi mtaani au ukimaliza masomo, jibajeti mwenyewe matumizi, ukijitahidi limbikiza vijisent vyako mwisho wa siku nunua bajaji weka kijiweni huku kitabu kinasonga mbele.

Mfano: kwa miezi miwili meal and acomodation mnapewa 450,000/= sasa ukiwa hostel bajeti yako iko hivi, asubuhi chai ni 1000/= mchana lunch ni 1500 +500 maji, jioni dinner 1500+ maji. Jumla kwa siku 5000/= kadrio la chini, kwa mwezi 150,000/= Sasa ukiwa peke yako umepanga somewhre kwa chakula tu permonth haifiki hiyo laki na hamsini, na unajikuta katika boom lako unasave pesa kibao ili mradi uwe na akili ya matumizi ya pesa.

Zamani tulifikiri ukifika UNIVERSITY ndio mwisho wa yote we ni kuku mrija tu la hasha maisha sasahivi ni ya kusoma namba kila kona. Nakushauri katumie muda wako na rasirimali za mikopo vizuri, ujiinue kimaisha na ujue kuwasaidia wadogo na ndugu zako uliowaacha kijijini.
Comment yako imeongeza kitu kwangu
 
Inategemeana na eneo chuo kilipo ila kama kuna uwezekano wa kupanga ni bora zaidi ila chuo kama UDOM itakugharimu nauli kila siku chuo kipo mbali na town
 
Chuo Kikuu ni kuwa wewe umekuwa mtu wa kujiamini na unajitambua, wakati mwingine maisha ya kushare vitanda, ndoo za kuogea, vifaa vya chakula, maliwato katika jumuia kubwa kama hiyo si salama sana kwa afya yako kiakili/kisaikolojia na kimwili kwa ujumla, watu wametofautiana hulka. Ila sasa inatulazimu kubakia hostel kwa sababu tu za kiuchumi. Vyuo vingine havina vitanda na hostel za kutosha kwa wanachuo athari yake ni kuwa kitanda cha mtu mmoja wanalala 2 au chumaba cha watu wawili wanakaa vijana sita, hilo lipo vyuo vingi ukanda wa Dar es Salaam.

Sasa ukiwa unajiweza kiuchumi basi tafuta room mtaani lipia, weka ratiba yako vizuri na pangilia mambo yako vizuri uanze kukua kifikra kwani boom likianza sio tu kununua simu na subwoofer basi fikiria kuwekeza mtaji utakaokusaidia siku ukidisco na kurudi mtaani au ukimaliza masomo, jibajeti mwenyewe matumizi, ukijitahidi limbikiza vijisent vyako mwisho wa siku nunua bajaji weka kijiweni huku kitabu kinasonga mbele.

Mfano: kwa miezi miwili meal and acomodation mnapewa 450,000/= sasa ukiwa hostel bajeti yako iko hivi, asubuhi chai ni 1000/= mchana lunch ni 1500 +500 maji, jioni dinner 1500+ maji. Jumla kwa siku 5000/= kadrio la chini, kwa mwezi 150,000/= Sasa ukiwa peke yako umepanga somewhre kwa chakula tu permonth haifiki hiyo laki na hamsini, na unajikuta katika boom lako unasave pesa kibao ili mradi uwe na akili ya matumizi ya pesa.

Zamani tulifikiri ukifika UNIVERSITY ndio mwisho wa yote we ni kuku mrija tu la hasha maisha sasahivi ni ya kusoma namba kila kona. Nakushauri katumie muda wako na rasirimali za mikopo vizuri, ujiinue kimaisha na ujue kuwasaidia wadogo na ndugu zako uliowaacha kijijini.
Vizuri mkuu huu ni ushauri mzuriiii
 
Uko right kabxa ndg. Yang
 
Back
Top Bottom