Kujuzwa maana ya maneno

Kujuzwa maana ya maneno

momentoftruth

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2014
Posts
2,041
Reaction score
2,140
Habari za jioni waungwana! naomba kujuzwa maana ya maneno yafuatayo
Nderemo
Vifijo
Cherekochereko
Nnachotaka kujua nikua je haya ni maneno sanifu yakiswahili na kama ndivyo yanamaana gani na utofauti wake.!!
 
Back
Top Bottom