Kujua simu feki piga *#06# kisha nakili imei namba,halafu toa betri fananisha na zilizoandikwa kwenye simu,zikipishana ujue feki

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
serikali pendwa ya awamu ya tano chini ya rais Dr.John Magufuli iliwahi kutoa namba hizi,

Mi nimekuja kujua baada ya kuingizwa mjini simu feki kariakoo aina ya Sony,kumbe nilipaswa kupiga *#06# kisha zitatokea namba ktk kioo unazikopi unageuza simu unatoa Betry unafananisha zikilingana ujue original, zikipishana ujue feki

Ikiwa simu ya line moja itatoka imei namba moja tu,ikiwa line mbili zitatoka I
mei namba mbili.

jamani ombi kwa wabunge simu feki bado zinaingia na zipo madukani natumai mtalisemea hili ktk page zenu maarufu za mitandao ya jamii kuelimisha,na television kama TBC chini ya Dr.ayoub ryoba na ITV chini ya mhavile,azam chini ya tido,Wasafi,clouds,global TV ya Eric shigongo,tv1,eatv,channel ten na star TV natumai mtaupata Uzi huu na kulishikia bango tuwe kama ulaya hakuna bidhaa feki.

intagram jina kaukwaju
 
Sizani Kama kulingana kwa Imei ni kipimo cha kujua kua ni simu orijino maana imei zinabadilishwa tu,,hata kama azijafanana na za kwenye nyuma ya betr unaweza ukabadilisha zikafanana tena bila shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom