Kujua kama mwanamke ni mjamzito

marko maluli

Senior Member
Mar 14, 2015
164
49
Naomba kuuliza swali hivi mwanamke anaweza kuonekana ni mjamzito baada ya siku/miezi mingapi ?
Na dalili zake ni zipi naomba kujibiwa tafafhali
 
Kwa Dunia Ya Sasa Hatuulizi maswali ya Miaka Ya 90.. ukiona Amekosa Hedhi na Mlifanya Siku za Hatari Mpeleke Hosp akapimwe UPT.(urinary pregnancy Test)....
 
Kwa Dunia Ya Sasa Hatuulizi maswali ya Miaka Ya 90.. ukiona Amekosa Hedhi na Mlifanya Siku za Hatari Mpeleke Hosp akapimwe UPT.(urinary pregnancy Test)....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom