Kujizuia na 'personality change' ........




Exactly huanza kama temporary situation
mwisho huwa ndo permanent personality yako
 
The Boss, hivi Mandela aliwezaje kukaa 27 years in custod halafu mind yake was sharp with no corruption? I think that comes with what we feed our subconcious mind...mostly by our self talks...Garbage in Garbage Out
Mkuu uko sahihi, ni kweli what we feed our subconscious mind matters kama ulivyosema, ila kuna kuwa exposed kwenye matukio na hizi changamoto za maisha ya kila siku zinatubadilisha bila kujua.Mimi mwenyewe najimis sana, I used to be trustworthy, honest, mwenye huruma lakini watu kunidhulum sana na kutake advantage imenibadilisha sana huwezi amini hata kumsaidia ombaomba inahitaji kufanya decision kitu ambacho sikuwa nacho.Nnachomshukuru Mungu amenisaidia kuona kwamba nnapotea na nahitaji kubadilika, nnachofanya sasa hivi ni kuona jinsi bora ya kureact na matukio nnayokutana nayo in a positive way.
 
Last edited by a moderator:

Pole saana
 

Na hata maofisini
watu weengi mno wanakwazana sababu ya stress za majumbani
 
The Boss, hivi Mandela aliwezaje kukaa 27 years in custod halafu mind yake was sharp with no corruption? I think that comes with what we feed our subconcious mind...mostly by our self talks...Garbage in Garbage Out
Ndahani unasahau Mandela ni mtu very special
kuamini kila mtu anaweza alichoweza Mandela ni kujidanganya..
he was gifted....sio easy kwa kila mtu
 
Last edited by a moderator:
The Boss, hivi Mandela aliwezaje kukaa 27 years in custod halafu mind yake was sharp with no corruption? I think that comes with what we feed our subconcious mind...mostly by our self talks...Garbage in Garbage Out
Ndahani unasahau Mandela ni mtu very special
kuamini kila mtu anaweza alichoweza Mandela ni kujidanganya..
he was gifted....sio easy kwa kila mtu
 
Last edited by a moderator:

Yaani wewe dah
niliisahau hii point ya ku miss the old you..
asante kwa kunikumbusha
ukifikia hapo ujue umejitambua
wengi hawafiki hapo
unakuta watoto wana miss their old mom or dad
na mzazi hajui

halafu una meengi mno umeyagusia thanx,,
 


Yaani hii serenity prayer ni muhimu kila mtu akaitumia aisee
 


Unaweza sema na yeye pia alibadilishwa na yaliyomkuta
labda asingefungwa asingeweza kusamehe
au tuseme yeye alibadilika kuwa better?
 

Unawachukuliaje wale ambao
'wanaheuka' na dini wakiwa na matatizo?????

kulikuwa na kesi moja mke aliokoka kupitiliza
mume akawa ana miss her old wife
ilikuwa kila kitu ni ulokole
radio ya kusikiliza nyumbani ni ya walokole
tv pia,wachungaji wanaletwa kwa maombi usiku nyumbani
marufuku pombe

while zamani mume alikuwa anatoka na mkewe wanakunywa wana dance
wanarudi home so happy...
 
Just imagine alafu yote yatokee katika wakati mmoja au yanapishana wiki hii then wiki inayokuja linaibuka lingine!


Yes wapo yanawakuta ndani ya mwaka
kuna Mzee namjua alivamiwa na majambazi wakabeba kila kitu
halafu akafiwa na mwanae na nzazi ndani ya mwaka mmoja
kuanzia mwaka huo hadi anakufa alikuwa anatembea huku anatazama chini...
 
Tafiti zinaonesha, wanaoAMINI wana amani kuliko wasioamini hasa pale wanapopatwa na majaribu.
Tatizo la couple hiyo ni tofauti ya kiwango cha imani ndio maana mmoja anamuona mwenzake chizi. Kaka yangu na mkewe wameokoka na wanaangalia na kusikiliza hizo channel pamoja home kwenye magari na popote. Kwenye maombi na fellowship wanaenda na ninawadmire kwa kweli!

Jinsi ya kukabiliana na stress ni tofauti, wengine kusali inatusaidia kuliko kunywa pombe au kuparty au kwenda kwa waganga au hata counciling.
 

Yaani umeongea ya ukweli
watu out of desperation wanaafikia hatua ya kuabudu binadamu wenzao
wachungaji au waganga wa kienyeji
 
Yaani umeongea ya ukweli
watu out of desperation wanaafikia hatua ya kuabudu binadamu wenzao
wachungaji au waganga wa kienyeji

Waanaabudu kweli au mnadhani au kutafsiri kuwa wanawaabudu?
Bila hope inayopatikana popote binadamu anaweza kuwa mnyama.
 
hili ndo tatizo linalosumbua sana siku hizi......
mtu anapata matatizo anakimbilia kuhama kanisa..... sijui anafikiria pale alipo ndo pamemsababishia matatizo?
matokeo yake huko anakoenda anaona pia hakuna kinachoendelea, maisha yapo vile vile hakuna unafuu wowote....
mwisho wa siku unamkuta huyo mtu kawa kama kichaa....
watu wengi hasa sisi wamama tunateswa sana na hii kitu, sijui tutatokaje huko jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…