dah yan m nna 5530 xpres music nayo hvyo hvyo ukiweka earphne vbaya whyle unackiliza music ina zma m2 akikupigia ukapokea bila earphne inazma wat iz that virus au but nahci n tatizo kwnye pin za earphne
mkuu mimi ilikua na tatizo la kujizima na kujiwasha yenyewe ni E52..nikashauriwa kubadili displey nilivyobadili ikawa poa...labda ungecheki kwa hilo linaweza kuchangia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.