Kujiuzulu na Kustaafu!


The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,366
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,366 280
Nimesoma gazeti moja la leo na ilikuwepo picha ya Mh Pinda na Lowassa na Chenge. Gazeti limeandka "WAZIRI MKUU PINDA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA........." swali ni je lowassa ni mstaafu au aliyejiuzuru baada ya kutowajibika? Me nadhani waandishi wengi wa habari ni MAKANJANJA TU hawajui matumizi ya maneno. Kama alistaafu manake anaendelea kupata mafao yake na ulinzi kama mstaafu na kama alijiuzuru nadhani kisheria anatazamwa tofauti. Au pengine wenzetu wanajua kuwa anapata mafao kama kawa. Me mwanzenu kila nkiona mafisadi nawaombea njaa tu na kwanini WASINYONGWE? Kazi ipo!
icon8.gif
 

Forum statistics

Threads 1,214,559
Members 462,703
Posts 28,516,201