Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Arusha kumbuka walisimamishwa madiwani watano baada kushirikiana na maghamba kupitisha naibu meya kitendo kilicho onyesha wamepokea rushwa toka kwa maghamba, upo hapo????Hivi kuna kiongozi wa ngazi yoyote wa Chadema aliewahi kujiuzulu kwa kushindwa kutumikia angalau chama chake tu?
Kwa mfano, ufisadi wa chama ngazi ya tawi, kata na Wilaya.
Kushindwa kusimamia Matakwa ya wananchi hasa kwa madiwani, Wenyeviti wa halmashauri, waziri vivuli au hata makatibu wa jimbo.
Jee chadema ni asilimia mia?
Hongera Cuf kwa kuonyesha Mfano
Arusha kumbuka walisimamishwa madiwani watano baada kushirikiana na maghamba kupitisha naibu meya kitendo kilicho onyesha wamepokea rushwa toka kwa maghamba, upo hapo????
Acha hasira mbona kasema ukweli mtupu. CDM hawawezi kufukuza mtu kwa vile wote ni wanandugu.We uliyeleta huu uzi ni mpuuuuuuzi kupindukia kwa nini usihiusishe CCM na kujiuzuru unahiusisha CDM serikali iliyo madarakani ndiyo inapaswa kuulizwa, madudu mangapi yamefanyika na hakuna uwajibikaji kwa kiongozi yeyote. usipende kuleta hoja za kishamba, kimbea, kimajungu, na wakati mwingine we unaweza kuwa mchawi ndo maana fikira zako ndogo kiasi hicho.
Chadema imepenya hadi vijijini kwa sasa. Hivi kuna kiongozi wa ngazi yoyote wa Chadema aliewahi kujiuzulu kwa kushindwa kutumikia angalau chama chake tu? Mikoa kama Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na mengine wananchi wamewaamini Chadema.lkn matarajio yao yamepungua sasa kwa asilimia kubwa
Kwa mfano, ufisadi wa chama ngazi ya tawi, kata na Wilaya.
Kushindwa kusimamia Matakwa ya wananchi hasa kwa madiwani, Wenyeviti wa halmashauri, waziri vivuli au hata makatibu wa jimbo.
Jee chadema ni asilimia mia?
Hongera Cuf kwa kuonyesha Mfano
We uliyeleta huu uzi ni mpuuuuuuzi kupindukia kwa nini usihiusishe CCM na kujiuzuru unahiusisha CDM serikali iliyo madarakani ndiyo inapaswa kuulizwa, madudu mangapi yamefanyika na hakuna uwajibikaji kwa kiongozi yeyote. usipende kuleta hoja za kishamba, kimbea, kimajungu, na wakati mwingine we unaweza kuwa mchawi ndo maana fikira zako ndogo kiasi hicho.
sasa chadema wajiuzulu wameharibu nini?yeye alikuwa na mamlaka matatizo yametokea sharti ajiuzulu.hata hivyo hongera kwake.Acha hasira mbona kasema ukweli mtupu. CDM hawawezi kufukuza mtu kwa vile wote ni wanandugu.
Unategemea SLAA amfukuze Josephine?
Chadema imepenya hadi vijijini kwa sasa. Hivi kuna kiongozi wa ngazi yoyote wa Chadema aliewahi kujiuzulu kwa kushindwa kutumikia angalau chama chake tu? Mikoa kama Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na mengine wananchi wamewaamini Chadema.lkn matarajio yao yamepungua sasa kwa asilimia kubwa
Kwa mfano, ufisadi wa chama ngazi ya tawi, kata na Wilaya.
Kushindwa kusimamia Matakwa ya wananchi hasa kwa madiwani, Wenyeviti wa halmashauri, waziri vivuli au hata makatibu wa jimbo.
Jee chadema ni asilimia mia?
Hongera Cuf kwa kuonyesha Mfano
wamekihujumu chama? na sio maendeleo ya taifa. hapa sawa na CUF Na hamad rashid