Kujiunga sua BVM

Mkuu we ushamaliza....vipi kusu soko lake huko mtaani....
Kusu mademu kiukwel me sio mtu wa bata...hop ntaweza
 
Mkuu we ushamaliza....vipi kusu soko lake huko mtaani....
Kusu mademu kiukwel me sio mtu bata...hop ntaweza
Kiukweli katika suala zima la ajira sasa hivi kozi yetu imekuwa na changamoto kubwa sana hasa hasa serikalini tena kwa jinsi ninavyoona nchi yetu inapoelekea ishu za kilimo sio kipaumbele sana so ndio maana hata ajira zao kwa sasa zimekuwa za kulenga kwa manati.....

But as a Vet unaweza ukaishi mtaani vizuri tu coz elimu unayoipata hapo itakuwezesha wewe kujiajiri na maisha yakaenda kama kawaida na labda kwa kuongezea kidogo hapo kuna taasisi nyingi binafsi zinazotuhitaji and from there u can make it in life kijana.....

So kwa sasa usifikirie sana kuhusu mambo ya ajira hizi ukimaliza utazikuta tu so kwa sasa focus on your studies pambana ili uweze kumaliza salama ..... goodluck
 
 
 
Duuh mi nimesoma sua ila coz zakawaida ila uo mzigo baba miaka m5 inakuhusu,na msul wake sio wa nchi hii
 
Bro...me bado nipo sa ivi mkuu...Mungu akipenda ntaenda second year

Hakuna kudisco.....shule juhudi zako tu unatoka
 
Najua sasa unaenda 2nd year apo SUA. Naomba nipe maujanja kidogo kuhusu VET maana nimebahatika kuipata.
Vipi mishe za ajira kunasomeka au mambo ni magumashi?
Yes mkuu ..ndo naingia second year Mungu akipenda...

Kusu ajira soma vizur comment ya theriogenology hapo juu...mana yeye kamaliza mwaka jana
 
Ile kitu nishida,ila unakaza unatoboa mzee maslah yake uko mbele yako fresh,ata boom lenyew lenu hua linakaua kubwa kulinganisha na kozi nyingine
Mwanzo mgumu hasa ukizingatia unaenda kukutana na vi2 vipya kabsa...nishafungua moyo tiar
 
Mkuuu
Kuna vitu nilikuwa naomba umisaidie kuhusu bvm kama uko tayar plz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…