Hongera mkuu pia kakomaeHabari zenu wakuu,
Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kuwa hai hadi muda huu na mema mengi anayozidi kunitendea katika maisha yangu.
Wakuu ,mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2017 ninayetarajia kujiunga na chuo mwaka huu.....
Namshukuru Mungu nimechaguliwa kujiunga na Sokoine university (SUA) kwa kozi ya BVM....
Najua humu ndani kuna watu mbalimbali.....waliosioma BVM..na wanaosoma sa ivi huko sua....na ambao wana uelewa kusu BVM........nlikuwa naomba ushauri kusu BVM ili nijue jinsi ya kupambana nao pindi ntakapofika huko chuoni.
Kwa pamoja tulijenge taifa letu.......
Asanteni.
[HASHTAG]#wise[/HASHTAG] boi
Hongera sana mkuu kakomae ama nn
Dah mkuu utakuwa ndan ya campus hongera.Habari zenu wakuu,
Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kuwa hai hadi muda huu na mema mengi anayozidi kunitendea katika maisha yangu.
Wakuu ,mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2017 ninayetarajia kujiunga na chuo mwaka huu.....
Namshukuru Mungu nimechaguliwa kujiunga na Sokoine university (SUA) kwa kozi ya BVM....
Najua humu ndani kuna watu mbalimbali.....waliosioma BVM..na wanaosoma sa ivi huko sua....na ambao wana uelewa kusu BVM........nlikuwa naomba ushauri kusu BVM ili nijue jinsi ya kupambana nao pindi ntakapofika huko chuoni.
Kwa pamoja tulijenge taifa letu.......
Asanteni.
[HASHTAG]#wise[/HASHTAG] boi
Bachelor of veterinary medicine.BVM ninini kwa kirefu,
Sante mkuu kwa maelezo yakoNi moja ya kozi ya kibabe pale SUA baada ya Engineering,Msuli wa BVM unaenda kama ni mmezaji mzuri wa materminology.Japo watu wanatishwa sana LAKINI unamaliza vizuri kuna msela wangu mimi nilikuwa nashangaa wenzie wanavyokomaaa lakini yeye kawaida tuu Mapali kama kawa na alibeba nanga yake murua kabisa.Cha msingi fuata wanacho kusisitizia usilete ujuaji.Utakutana na Practical,Oral,Paper Exams za kutoshaaa