Nimeona vyuo vingi vinahitaji , kwa diploma, credit tatu kutoka science subjects maths, chemistry, biology and physics kwa kozi za afya. Nimecheki wanafunzi wengi wa science physics na hesabu ni matatizo wengi hawana C and above!. Enrollment itakuwa ndogo kwa vyuo vingi. Afya university hivyo hivyo!
Kutoka shukle za KATA sahau kuingia chuo cha afya, wild life, maana very very few wamepata hesabu na physics..... C and above.
Kutoka shukle za KATA sahau kuingia chuo cha afya, wild life, maana very very few wamepata hesabu na physics..... C and above.