kujiunga na jwtz

kujiunga na jwtz

gasscan

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
39
Reaction score
7
wana JF wenzang nashkur kw uchambuz wenu wa jins ya kujiunga na jwtz lkn ilo swali langu halijajibiwa km iyo ishu ipo inapita ktk mikoa au haipo?
 
wana JF wenzang nashkur kw uchambuz wenu wa jins ya kujiunga na jwtz lkn ilo swali langu halijajibiwa km iyo ishu ipo inapita ktk mikoa au haipo?

procedures huwa ni zile zile hakuna mabadiliko.

pitia https://www.jamiiforums.com/nafasi-...ga-na-jwtz-na-vikosi-vingine-vya-usalama.html
kwa maelezo zaidi.

mwambie na ndugu yako Granta asome hapo kwa umakini sana aache lugha zisizo na mashiko.

Wadau leo nilikutana na mfanyakazi mmoja wa serikalini.....niliongea nae kuhusu ni jinsi gani mtu anaweza kupata ajira ndani ya jeshi la jwtz,usalama wa taifa na taasisi zilizopo chini ya idara hiii kama takukuru,uhamiaji na taasisi nyingine nyeti.......ni kupitia jkt...

1.ameniambia utaratibu mpya wa vijana kujiunga na jeshi la jwtz ni kupitia kwanza mafunzo ya jkt.. Wameniambia kwa sasa huu ni utaratibu mpya ...wa sasa kwamba jkt kwanza halafu badae ndo unajiunga na jeshi.

2.kuhusu kujiunga na kupewa ajira idara kama usalama wa taifa,na taasisi kama takukuru ni kupitia jkt mkifika hukoo ndo sana baadhi ya vijana huchaguliwa na kupelekwa kufanya kazi kwenye idara hizi ila kabla ya kuanza baada ya mafunzo hayaa mnapelekwa kwenye chuo cha usalama wa taifa kilichopo bweni..hukoo na pia idara hizi ni kupitia jkt huchukua vijana..kupitia idara hizii.....

3.kuhusu kujiunga jkt...ni hivi jkt hutoa nafasi za mafunzo kwa vijana wanaopenda sana kujitolea kwani jkt hutoa nafasi hizoo kwa vijana wanaopenda kujitolea kwenda kupewa mafunzo ya kijeshi.. Na ulinzi .....kwa hiyoo inategemea kila mwaka ni vijana wangapi huchaguliwa kwa hiyoo ...na kujiunga na nafasi hizi za jeshi..

Pia jkt..huwa wanatangaza nafasi kwa vijana wa kitanzania ambao wanaopenda na sifa za vijana huanzia darasa la saba...mpaka elimu ya chuo.....

kumbuka😛ia kumbuka mnaweza mkaenda watu watu....wengi ila si yote watakao ajiriwa kujiunga jkt ila baada ya kuhitimu utapata mafunzo yatayokusaidia .......


Soo kuhusu watu ambao wapoo mtaani wanawambia kuwa watakutafutia kazi tiss,jwtz,takukuru, uhamiaji ambao watu wanataka utoe pesa wakusaidie upate kazii kaa ukijua unatapeliwa...ni hayoo tuu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom