Kujiunga na JWTZ: Msaada

Kujiunga na JWTZ: Msaada

Hata la saba uwe na akili timamu na hujawahi kuiba au kukaa mahabusu
Usiwe na tatoo
 
Kwa taarifa yako hata darasa la saba wanaenda hadi leo.....JW wanachukua watu toka JKT na Mgambo na darasa la saba wanakuwepo hasa kwa upande wa wanaotoka mgambo...hasa wale (talented)..nenda hata wilayani wanakotangazaga hizo nafasi darasa la saba wanakuwepo...
Sawa mkuu
 
Nadhani uko sahihi maana JKT wa kujitolea huwa ni darasa la saba! Na policy ya kuingia jeshini ni lazima upitie JKT, kwa mantiki hiyo darasa la saba wanachukuliwa.
 
Sasa nakupa feedback, amekwenda tayari
Acha kudanganya watu wewe... Ameenda recruit course ya peke yake katika chuo cha kwake peke yake? Maana sasa hivi course zinazoendelea huko kwenye recruit centres ni za wale wa kwa mujibu... Wale walomaliza form 6... Huyo wa kwako ameenda recruit course wapi... Labda chombo kingine cha usalama but not JWTZ...
 
tatizo la JF ndilo hilo, mtu anabisha as if ana proof kuwa ninachokisema ni cha uongo. Nakwambia haya yanawezekana jeshni. Basi yupo na si form six ni form 4 total failure, amekubaliwa jeshini. Usibishe , sina haja ya kuja kudanganay. nami nilikuwa kama wewe nilikataa kuwa wewe watakulia hela zako, sasa amepata!
 
Broo ndo umekuja kunitangaza huku kama 4m4 nilitaga? Mbona wewe ulifeli MEMKWA sijakutangaza
 
Back
Top Bottom