Kujiunga na JWTZ kwa proffessionals

Nifahamishwe kikomo cha umri ngazi ya cheti, stashahada, shahada na shahada ya uzamili...tafadhari wana JF.
 
ASANTE SANA NA JE HUKO JKT KUNA TARATIBU ZA KUJIUNGA NA JW??


:angry:

yes,vyombo vyote vya ulinzi na usalama(TPDF,TISS,TANAPA,MAGEREZA N.K)hupita kwenye vikosi vya J.K.T na kusaili,wanaofaulu,let's say TPDF hupelekwa kambi za TPDF kwa mafunzo ya miezi minne.Ukipenda na ukiwa frm 6,au una diploma au degree na kuendelea unaweza kuapply cadet
 
Nifahamishwe kikomo cha umri ngazi ya cheti, stashahada, shahada na shahada ya uzamili...tafadhari wana JF.

Kwa TPDF kwenda cadet usizidi miaka 35 kwa form 6, Diploma na Bachelor, sijafahamu kwa master's na Phd ila nitafuatilia...
Kwa JKT kundi la kujitolea(ambao ndio wako after ajira) umri ni kati ya miaka 18 hadi 23 kama utapitia kwenye halmashauri, ingawa hiko kigezo huwa hatukiangalii sana kwa watu ambao wanapewa form kipitia makao makuu ya JKT maana wapo hadi wenye miaka 33.
 
Nakushukuru mkuu kwa kunijulisha umri nlkuwa mwalimu lakn baada ya kumalza shahada nataka kuingia kwenye ulinzi wa taifa hasa kuwa usalama wa taifa au polisi.umenipa moyo umri saiv 27 duuu nkawa nahc ndoto zangu znapoteaaa!!
 
Jana jk amefunga mafunzo ya maofisa cadet pale monduli,so nadhani watatoa nafasi soon.jiandaeni.
 
natamani niwe mwalimu wa shule za jeshi asa hivi nina umri wa miaka 29 nadhani nnweza kujiunga na jkt mwezi wa 9 sa sijui niagaje huku kwnye ualimu wa shule za kata(halmashauri)
 

Mkuu cadet ndo nini?
 

Hiyonni kweli kabisa intake ya mwisho ni 2010 na walikuwa wengi sana ,since 2010 jwtz wanaendeleza waliokuwa ndani ya jeshi wenye elim ya form six kwenda juu kuenda office cadet na wengine from jkt when necessary.so kiukweli jaribu jkt/jku Zanzibar ndio unaweza kubahatika kwenda jwtz profsional koz,offic cadet
 
nyingine nimesikia leo Luteni Usu manaake nini?

Luteni Usu ni ofisa mwenye nyota moja begani..Cheo hiki hudumu kwa mwaka mmoja na baadae anapanda hadi nyota mbili na kuitwa Luteni
 
Luteni Usu ni ofisa mwenye nyota moja begani..Cheo hiki hudumu kwa mwaka mmoja na baadae anapanda hadi nyota mbili na kuitwa Luteni

na f.b.o maana yake nini maana kuna soja kalewa kasema nikimzingua atanipa fbo matata sana
 
f.b.o? Damn ass.......ndio makitu gani haya
 
siku hizi hizo hamna, watu wanaingilia jkt kwanza, kwahiyo mkuu anza huko ndo wataenda kukuchukulia huko huko. ukisubiri hizo utakaa sana mwishowe utaenda kuwa security guard home.
 
25.....zaidi ya hapo uwe na professional!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…