kujiunga na jkt

kujiunga na jkt

mwezi december na january post znaweza toka wew anza kufuatilia mwez wa 12 na wa 11 mwshon sos mdau jkon vijana na ajira jkt, nimewaklsha nyuma ya pazia
 
Kuna mtu humu alisema mwezi huu kuanzia trh 10 mpaka 20 haiwezi kuvuka
 
---- mnakumbuka last yr waltoa post zao mwez wa ngap? ilkua mwez wa 12 n mwez wa 3 wakaingia depo, mim nlkua nafatlia hyo kitu na kuna mdogo wangu alienda wameshamalza sa hv wanasubr kupangiwa tu, bt me tht tym ktabu klnibana, ila ths tym pga ua, amin
 
Usijali mdau wew omba mungu atasaidia tu endelea kusikilizia na jiandae n vizuri sana kama una mtu wa karubu yupo kule itakua vizuri kukupa data
 
Back
Top Bottom