Kujiunga na Jeshi la Wananchi 2014/2015

Status
Not open for further replies.
Duh kiswahili kigumu. Sijui kiingereza itakuwaje. Na kichina Itakuwa ni kiama kabisa
 
Haha.....balaaa sana!! Wakoloni walikua wanapenda sana hawa Iron Boy kuingia jeshini
 
Na kwa wale walioenda kwa mujibu wa sheria lazima tena wapite jkt?
 
Mkuu mm napenda kujua za mwaka huu zinatoka Lin Mwenye taharifa yoyote anijuze asee
 
Kwenda TMA sio kitu rahisi sana wakuu.Kama degree yako ni ya "kawaida" unaweza ishia kuwa "man" kwa kipindi chote utakachotumikia jeshi

Umeona,,,madaktari wengine wametoka mtaani moja kwa moja hadi Monduli,,moja kwa moja yani mtu hajui hata funga fungua ila anaenda after 1 year anakula jiwe lake begani
 


Jeshi Linahitaji degree za Sayansi..hasa ya IT...Maana Tayari tumenunua midoli ya kupiga ukiwa mbele ya computation Kama video games

Ukiondoa wasomi wachache wengi ya wasomi walioingia jeshi Ilikuja kugundulika kuwa lengo Lao kuu ni ajira ...na sio wito hao sio maafisa wazuri ....kwa maana Hiyo kikwazo cha kuwa afisa kimeongezwa ....unatakiwa ujitoleee JKT Mwaka mmoja ..uendelee Recruit Training Tena Karibu Mwaka baada ya Hapo ndio wenye sifa na elimu wataenda Monduli ......panaweza kuwa na some exceptions kadiri ya mahitaji ya teknelojia .....ie Madaktari ,nuclear scientists , and other high tech training ambazo hazihitaji Sana combat capabilities ....maana vifaa Vingi ni high tech , lakini wale wa Law ,accounts ,hata baadhi ya sciences ambazo sio priority wasitegemee Tena fast track

Maafisa ambao hawana degree hasa ambao wameishia form six ni wazuri Sana ..kwenye combat ......vile vile jeshi hata walioishia la Saba in rare cases wanachukuliwa na wanasifiwa kuwa wapiganaji wazuri zaidi ......tatizo la wasomi fatigue ikiwa kubwa wanaanza kutamani kazi za TRA na wengine wakiajiriwa tu wako fasta kupiga hela
 
Afteral muda sio mrefu Kozi ya uafisa Monduli inasajiliwa TCU Kama degree course ...so itakuwa 3 to 4 years degree course Bsc ,Millitary Science ., miaka ya nyuma shule za Tabora Schools zilikuwa na course ya A level ikiitwa PMM ( physics , Maths and Millitary Sciences ) ....waliokuwa wakimaliza Hapo direct wanaenda cadet course .....
 


Masheha huwabana sana wapemba kupata nafasi
 
Mie hoi tuu kwenye matumizi ya "a" na "h"
Otherwise umeeleweka.
 
Mwaka huu WA 2016 Zinatoka lini mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…